Simba yanasa saini ya Saido Ntibazonkiza

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
576
2,562
Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya Saido Ntibazonkiza, raia wa Burundi aliyekuwa anachezea timu ya Geita Gold.

Mchezaji huyu amesaini kandarasi ya mwaka mmoja na nusu kwenye klabu hiyo kubwa nchini inayopatikana mtaa wa Msimbazi.

E61B3C1E-BDF9-4884-9ECE-4A3DB5DBCD34.jpeg
 
Back
Top Bottom