simba

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
  2. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Tarehe 21-04-2023: Simba watabatizwa kwa moto

    Klabu yenu pendwa ya Simba imepangwa na bingwa mtetezi wa Caf CL, Waidad Casablanca, kwenye robo fainal ya Caf CL. Kwa wale wasioifahamu vizuri Waidad AC, nawaomba mje kwa Mkapa hapo tarehe 21/04/2023, ili mshuhudie klabu yenu pendwa ikibatizwa kwa moto. Kile kipigo cha tatu, tatu...
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Picha hii ya CAF inaashiria nini kwa Simba?

    Kwa wajuvi wa mambo na wale waliosoma Cuba, Je, ukitazama kwa makini picha hii unapata tafsiri gani?
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

    Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club World Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Simba msimu ujao tujifelishe tushiriki Shirikisho, tusishiriki tena Champions League, ama nusu fainali kwetu itabaki kuwa ndoto

    HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila msimu kama timu ndogo Jamani wana Simba tuwe realistic, kwenye mashindano ya CAF Simba mwendo...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simba ikizidiwa umiliki wa mpira linahitaji jawabu haraka

    Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke. SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA wanauwezo wa kupambana nalo. SIMBA ikizidiwa umiliki wa mpira kwa asilimia 60 au 70 inapoteza mwelekeo wa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe acha Kuhangaika kukua katika Usemaji kwa Kuichafua Simba SC

    Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7. Tunaokujua ndani nje ( hasa GENTAMYCINE kwakuwa tuko katika Tasnia Moja ) tunatambua kuwa Rafiki yako...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuelekea robo fainal champions leage na shirikisho Simba dhidi ya mamelodi Yanga dhidi ya pyramid

    Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
  10. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kulinganisha Simba na Yanga ni sawa na kulinganisha mwanafunzi wa chuo kikuu na alifeli form two

    Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa. Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions: Based on the 5-year RANKING! 1. 🇪🇬 Al Ahly 2. 🇲🇦 Wydad Casablanca 3. 🇲🇦 Raja Casablanca 4. 🇹🇳 Espérance 5. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 6. 🇪🇬 Zamalek 7. 🇲🇦 RS Berkane 8. 🇩🇿 CR Belouizdad 9. 🇹🇿...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Timu dhaifu tupu ndio zimebaki shirikisho. Hakuna inayoizidi Simba kwenye rank za CAF 2023

    Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia. Clab bingwa yamebaki...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  14. Zee la Kazi

    JamiiForums Tanzania Kwenye chaki leo (Bitter Truth)

    Habarini Wananchi wote wa JF..! Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza.. Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Simba tukijipanga tutaenda nusu fainali

    Simba tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Mimi naombea tupewe mamelodi. Kama Al Hilal waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not Simba?. Simba kucheza na Mamelodi ni advantange kwetu kuliko kupewa Waarabu. Warabu ni shida kwetu wanasimba...
  17. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya simba kwenye michuano ya kimataifa ya CAF

    Katika kipindi cha miaka 5 Simba ndio klabu bora Afrika Mashariki kwa hatua walizopiga michuano ya Kimataifa ya CAF. Hatua ya makundi na Robo Fainali mara 4. Yanga itawachukua miaka 4 hadi 5 kuifikia hatua hii ya Simba.
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya mashindano wanayocheza Yanga na Simba (nini maana ya looser na kwanini)

    Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wamefanya Dejan Thamani yake iwe milioni 700?

    Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za kitanzania milioni 700 hadi bilioni moja na milioni mia nne. Kwanza nilishangaa imekuwaje mchezaji...
  20. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Leo ni sikukuu ya mashabiki wa Simba

    Wanaadhimisha kila tarehe 1 April, ila mwisho saa nne asubuhi Aliyeelewa kaelewa
Back
Top Bottom