simba

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Mkude, Nyoni Wasiwe mbuzi wa kafara, uwezo wa Simba ndio umeishia hapo

    Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo! Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Nyoni, Bocco na Mkude hawastahili kuichezea Simba. Muda umefika wa kuwaruhusu wakatafute maisha sehemu nyingine

    Chei Chei..... Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
  4. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Simba kufumua benchi upya

    Badilisha baadhi ya maneno kwenye taarifa hii, lakini ujumbe ule ule: "Kikosi cha Simba kipo Casablanca, Morocco kwa ajili ya mechi yao ya mwisho ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca itakayopigwa saa 7 usiku wa kuamkia Jumamosi. Timu zote mbili zimeshafuzu kwa robo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Mnyama Simba SC

    Me ni Yanga lialia ila kesho nataka mnyama apate matokeo mazuri dhidi ya Raja Casablanca! Timu zetu zimefika hatua nzuri sana kimataifa na ningependa kuona zinasonga mbele zaidi ili tuweke historia! 😂 Kuonesha nipo serious naweka mkeka Sokabet, asa ole wenu mnichanie mkeka wangu! Tarehe 14...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Na huu ndio wakati rasmi mashabiki wa Simba watatamani ardhi ipasuke wajifiche kwa aibu hizi zijazo, Kocha hawezi toboa msimu ujao

    Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi. Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi...
  7. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Simba atafungwa goli ngapi na Raja kesho kutwa?

    Weka ubashiri wako, unaona kabisa Mnyama akifa ngapi huko Morocco?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Simba Kuondoka Leo Tayari Kuikabili Raja Morocco

    Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kinachokwamisha Simba kuuza hisa zake ni kitu gani?

    Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda: Nani anawafelisha Simba?

    Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda. Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia, "Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio dawa" Japo nafahamu muda mwingine usajili ni kama KAMARI, au tuseme bahati nasibu. Lakini kwa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuumizwa na mafanikio ya Simba Sc ni maradhi ya kujitakia

    Mafanikio ni nini? Mafanikio ni hatua ya kufikia au kuzidi malengo uliyojiwekea. Kwa lugha ya kigeni tunaita Goal Achievement. Simba tumekuwa na malengo kadhaa kila mwaka. Moja ya malengo yamekuwa ni kufanya vizuri kimataifa na kwa kiwango kikubwa tumekuwa tukifanikiwa kifikia malengo yetu...
  12. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba wapenzi wenu wamejifunza nini kuhusu makocha walionao sasa vilabuni?

    Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa. Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani dhidi ya africa club ya tunisia na ilingojewa timu ishindwe tuu mechi ya marudiani kabla ya kocha...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

    Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele? Mchezaji wenu wa kawaida sana mnayemsifia kama vile ni malaika toka mbingu ya Soka aliyeachiwa upako na Pele. Hebu acheni mambo yenu!
  14. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Simba ijitoe CAF Club Champions 2023/2024

    Msimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali. Michuano ya Africa Super League itajumuisha team 8...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kapombe, Zimbwe JR waitwa Stars haraka kuiwahi Uganda

    Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima. ====== Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam alitoa taarifa iliyokuwa ikinahusu kuogezwa kwa...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
  17. Labani og

    JamiiForums Tanzania Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

    SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU. KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mo Dewji anavumilia hasara Simba?

    Kila Simba inapoingia robo finali mashindo ya CAF Tajiri Mohamed Dewj anajitokeza hazarani kudai anapata hasara kwelikweli kwa kuidhamini Simba, Ni kwanini hasara anazopata zinatangazwa kwenye sasa na kwanini avumilie hasara zinazomkera? Je, unapogharamia kitu unachokipenda sana hiyo inaitwa...
  19. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania SIMBA na usajili msimu ujao

    KOCHA Mkuu wa Simba Robert Oliveira ‘Robertinho’ amepania kuongeza idadi ya mastar katika kilabu ya Simba huku akitazamia zaidi katika mechi za kimataifa, kwa sasa kwa kila mchezo anaocheza uwe wa kimataifa au wa ndani anakuwa na kazi nyingine ya kutafakari nini kimepelea na nini cha kuongeza...
  20. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rekodi hii ya Simba inaweza isivunjwe miaka 20...

    Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa? Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
Back
Top Bottom