Kama Mo hapati faida aondoke aje tajiri Bakhresa hana majivuno. Huyu Mo anakera na kutulingishia sana utajiri wake kama anaona anapata hasara si aondoke zake aiache Simba? Why jezi ya Simba imejaa matangazo yake page ya simba kila siku inatangaza bidhaa zake.
Wanasimba tukiamua tutasusia hata...
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"
“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana...
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli
Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema
Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake...
KUNA wakati huwa hatupendi ukweli. Tunapenda kudanganyana kwa sababu tu ya ushabiki. Ni kama hili la Simba na Yanga kimataifa.
Nimeona tambo za Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho. Wanatamba kuwa watafanya vizuri na kufika mbali.
Wanatamba kuwa wao ni bora kuliko timu yoyote nchini...
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd kwa ajili ya kusaidia ukuzaji wa maendeleo ya soka la Vijana huku Mkataba huo ukiwa na Thamani ya 500M huku kukiwa na nafasi ya kuboresha zaidi.
“Soka la vijana ni muhimu sana. Ili uwe na timu ya vijana iliyo bora lazima...
Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia.
1) Kucheza robo fainali cc na cl
2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho)
3) Wachezaji kupostiwa magoli ya wiki
4) Wachezaji kuwekwa kwenye team ya week
5) Kupostiwa kwenye...
Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili!
Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio...
Haruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake.
Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa?
1. Yanga
2. Simba
Twende kazi______!
Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa.
Kupiga kura ni rahisi sana usisubiri wala kutegea wengine wafanye. Download App ya Twitter kama hauna. Jisajili Twitter kama...
Habari wakuu.
Huwa ninasikia tu hii kilabu inasajili wachezaji, inashiriki michuano na ligi mbali mbali lakini mbona sijawahi kusikia imeshinda taji/kombe lolote? Ina maana wamekuwa washiriki na wasindikizaji tu?
Si Ligi kuu, Si FA, Si Ngao ya jamii, CAFCL,CAFCCL wala mapinduzi. Nini kifanyike...
KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu uliopita, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo kwa sasa amesema kutinga kwa Simba katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeiheshimisha Tanzania na kutoa fursa kwa vijana kupata nafasi zaidi za kutoka nje ya nchi.
Simba...
Sisemi mengi:
Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho.
Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
Ukiachana na wale ambao ni Team Kamati ya roho mbaya, kila shabiki wa soka Tanzania anajua kwamba timu ya Simba kwa mwaka 2023 ndiyo timu bora Tanzania!!
Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw.
Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO.
Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
"Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah.
Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi suluhisho limepatikana. wanatakiwa kujifunza Kwa yanga.
Nini Simba wafanye?
Kwa kuwa muda umeisha...
Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe
Ahmedy Ally kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.