simba

  1. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Yanga kuifunga Simba siyo habari (news) ila kinyume chake ndiyo habari (news)

    Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu. Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa. Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC izuieni upesi hiyo Alphard nyeusi inayokuja Kambini na Mdau wa Simba SC ina Watu wabaya Kwetu

    Uongozi wa Simba SC pitieni sana hapa Jamiiforums na muwe mnanisikiliza mno Mimi GENTAMYCINE sawa? Nawapambania kuliko hata hao Wanafiki baadhi walioko Kambini kwa sasa. Haya GENTAMYCINE naamuru haraka sana hiyo Gari aina ya Alphard Nyeusi iishie nje na isiingie Kambini ina Mtu Kirusi na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC naomba tujadili Kikosi kipi Kipangwe katika Derby ijayo ila Mimi nashauri tujilipue na hiki

    1. Aishi Manula ( kama Kapona ) 2. Shomary Kapombe ( kama Kapona ) 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga ( kama Kapona ) 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Muzamiru Yassin 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Saido Ntibanzokinza Baadae napendekeza Waingie wafuatao...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Simba kuitwa Bob Jr, Serikali yasema ‘Simba akiitwa jina la Masanja hakuna atakayemjua’

    Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema “Tunapotumia majina maarufu...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wafuatao ni Wachezaji hatari Kinyota kwa Simba SC Jumapili tarehe 16 Aprili, 2023

    Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90. 1. Farid Musa 2. Aziz Ki 3. Bernard Morisson 4. Kennedy Musonda Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Utabiri mechi ya Simba na Yanga itaisha Sare, pia Timu zote mbili zitatolewa kwenye robo fainali ya mashindano ya Caf

    Habari za jioni. Utabiri wangu ndio huo. Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa. Na Yanga nayo itatolewa na Rivers Utd kwenye kombe la shirikisho barani Africa Mnakaribishwa na wengine kuweka utabiri wenu
  7. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Ndoto inayotisha dhidi ya ndoto inayosikitisha Simba, Yanga

    NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine kutoka jiji hilo lenye wakazi milioni tatu na zaidi nchini Morocco. Lakini kuna ndoto nyingine...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yafanyike Simba SC kuelekea 'Derby' yetu na Wao Jumapili tarehe 16 April, 2023

    1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao. 2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika. 3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale Makomandoo (watu wa maandalizi na kamati za kimkakati) walishwe Yamini ya Kiapo na Uaminifu. 4...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Songwe: Mchezaji afariki dunia Kwenye Derby ya Mashabiki wa Simba vs Yanga

    Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
  10. luangalila

    JamiiForums Tanzania Tunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo

    Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player. Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
  11. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

    Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Habari kubwa leo, nani wa kumzuia Jean Baleke ambaye amekuwa hazuiliki sasa, kwa taarifa yako Baleke kwasasa anafunga kila...
  12. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa TFF: Mechi ya Yanga vs Simba isogezwe mbele kwa maslahi ya Taifa

    Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda. Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani mmekaa mnanenepeana hamwangalii ratiba inavyovibana vilabu vyenu ila vikishinda mnakuwa wa kwanza...
  13. Thailand

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi makubwa ya nchi mechi ya Simba na yanga ipelekwe mbele kupisha mashindano ya kimataifa

    Simba na Yanga zinacheza tarehe 16/04/2023. Mechi ya Simba na Yanga au Derby ya kariakoo ni mechi inayoitaji akili, nguvu na utimamu wa mwili kuikabili mechi hii kwa timu zote mbili. Wapizani wa Simba na Yanga pia wapo kwenye tension kubwa namna gani kuzicheza mechi zao na hizi timu ambazo kila...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Simba SC na Pamba SC afariki dunia

    MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda mrefu, wakalazimika kuita mwenyekiti wa mtaa na kubaini kuwa amefariki. Baadaye polisi walifika na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Simba hakuna kusogeza mechi mbele

    Simba SC ina Kikosi kipana, hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuairishwa kwa kisingizio cha Waydad! Kuna watu kuanzia tarehe 16 watakuwa na wiki ngumu sana, huku Yanga, siku nne mbele Waarabu wanakusubil! Twende mbele wana Lunyasi😀😀
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baleke kwa Nabi ni benchi

    Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi! Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa moja, kwa nature ya uchezaji wake.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mbogo Maji Ihefu waipania Simba Jumatatu ya Pasaka

    Ihefu maarufu kama Mbogo Maji wamekula za uso 5 kwa 1 jana usiku ktk mchezo wa robo fainal ya kombe la azam, hata hivyo Mbogo Maji imetamba kulipiza kisasi katk mchezo wa marudiano wa ligi ya NBC uliopangwa kupigwa cku ya j3, yaan keshokutwa. Mbogo Maji wamepost kwenye ukurasa wao wa insta kwa...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba wawakimbia Yanga tarehe 16

    Kuna tetesi mjini kwamba simba wametuma barua TFF ili game yao na Yanga isogezwe mbele zaidi. Haijajulikana sababu za kutaka game isogezwe mbele ni nini ila wajuvi wa mambo mjini wanasema ni kukwepa vichapo mfululizo . My take Yanga msikubali kusogeza mechi mbele nyie ndio mna game Nigeria...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

    Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

    📝 "Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi" Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad
Back
Top Bottom