simba

  1. The Genius

    JamiiForums Tanzania TFF inapenda dezo kutoka kwa Simba na Yanga

    Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yaani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M, gharama za mechi 22M, ticket 22M. What the difference? Kama uwanja na ticket vimelipwa hizo gharama...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Mchanganuo wa Fedha za Simba na Yanga una utata

    Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa.! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M, gharama za mechi 22M, ticket 22M. What the difference? Kama uwanja na ticket vimelipwa hizo gharama...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kushinda Jumamosi ni hizi hapa. Yanga acheni Polimi Lai!!

    Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo. 1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa. 2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mgeni kazingua mbaya siku ya Jumapili, kisa ushindi wa Simba!

    Ijumaa nilimpokea mgeni, ambaye ni shangazi yake waifu. Ametoka mkoani na yupo hapa Dodoma akifuatilia mafao yake baada ya kustaafu. Hawa wenzetu askari hustaafu wakiwa na umri mdogo ukilinganisha na waajiriwa wengine. Siku ya jumapili aliaga mapema kuwa ataenda kuutembelea familia ya rafiki...
  5. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono?

    Je unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono. Tabiri matokeo yako tujuane. Simba 2-1 wydad Yanga 1-0 rivers Wewe je?
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

    Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano. Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamesherehekea mno kuifunga Yanga?

    Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la usoni mwanafunzi mgomvi sana na mwenye nguvu wa darasa la saba B aitwae Mathayo hadi akazirai. Huyu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Confirmed kutoka CAF kwa mwaka huu Timu za Africa Super Cup ni Nane tu Simba ipo na Yanga hawapo

    Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza. Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema )...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba Sasa Ijiandae na Waydad

    Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga. Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pole kwa Yanga: Rivers United ya Nigeria yarahisishiwa kazi na Simba, itapiga kwenye mshono ambao Simba iliusababisha!

    Rivers United itapiga kwenye mshono wa Yanga wa tarehe 16/04/2023!! "wananchi" msijifanye hamjaelewa!
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kilichofungwa na Simba ni sawa na kikosi kile kilichokuwa kinafungwa sana na mzee wa Kiminyio Madaraka Suleimani

    SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI. Leo 10:15hrs 17/04/20223 Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Matola ndiye alikuwa kirusi cha debi ya Simba na Yanga kiufundi bora abakie aliko

    Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana! Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu! Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima! Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
  13. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Simba wameset standards, mipango makini!

    Wanasimbaaaaa! Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi. Simba wameweka mpira wetu kwenye ramani misimu 5 sasa na kufanya hata ligi yetu iongezeke thamani. Hata ubora wa sasa wa Yanga benchmark yao ni Simba kuanzia mfumo wa...
  14. Opaque

    JamiiForums Tanzania Yanga haijaishinda Simba katika Ligi ya Bara kwa miaka miwili sasa

    Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo 03/07/2021: Simba 0-1 Yanga 11/12/2021...
  15. Smt016

    JamiiForums Tanzania Yanga waliingia uwanjani kwa kuidharau Simba

    Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na kukosolewa kwao kuwa ni kikosi kibovu huku Yanga kwavile wanaongoza ligi na wamepoteza mechi moja tu...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

    Nguvu Moja
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13. Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
  18. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

    Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo. "Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hadi hapa Simba hawadaiwi

    Kwa matokeo ya leo 2-0 dhidi ya Yanga, hakuna shaka tena kuwa hawadaiwi na mashaabiki wao, iwe wakipoteza dhidi ya Wydad na hata wasipochukuwa kombe la NBC au la Azam Confederation. Kazi wameimaliza leo. Tukutane msimu ujao.
  20. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

    Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄 Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Back
Top Bottom