simba

  1. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Naamini Simba itatinga nusu fainali ya CAF Champions League

    Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0, basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali. Kikubwa wakabe kwa umakini, faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari. Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Simba kujifunza kwa Yanga sio Dhambi

    Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
  3. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Simba Sc tuna mengi ya kujifunza kutoka Yanga

    Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza kutoka kwa watani zetu Young Africans wanaofanya vizuri nyumbani na kimataifa. 1.Mpira ni uwekezaji...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha in advance Kipa Kinda wa Simba SC Ally Salim kwa Goli nyingi atakazofungwa Morocco

    Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya. Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kundi maalumu la Mashabiki: Ni wale wanaozipenda Simba na Yanga kwa pamoja!

    Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia Yanga lazima inavyocheza lazima uichukie Simba? Au ukiifurahia Simba inavyocheza lazima uichukie Yanga...
  6. Tango73

    JamiiForums Tanzania Kufungwa na Simba mechi iliyopita ilikuwa ni blessing in diguise kwa Yanga

    Kufungwa na simba mechi ilopita ilikuwa ni blessing in diguise. Yanga baada ya kufungwa mechi hiyo na watani wake wa jadi kocha alichambua udhaifu wa timu kiufundi kuanzia idara ya ulinzi, midifida mpaka washambuliaji. Kwa Utaalamu huo wa kusoma ufundi wa timu, kocha kainoa timu kimbinu bora...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha mahudhurio hafifu mechi ya Simba vs Wydad?

    Juzi wakati watu wanajadiliana ripoti ya mapato na makato ya mechi ya Simba na Yanga, kuna uzi nilitoa comment nikasema ile ripoti imeletwa maksudi kuiathiri Simba. Kuna mtu akanijibu kitu nikamwambia, asubiri mahudhurio ya mechi na Wydad. Mechi ya jana ya Simba na Wydad ilikuwa na mahudhurio...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu waliwekeza muda Wao mwingi kutuombea mabaya Simba SC Jana wakati Leo wana Mlima mrefu kwa Wapopo

    Jitu linaingia Kibanda Umiza halafu Wachezaji wa Wydad Casablanca FC wanakosa Magoli linaumia kweli kweli wakati lenyewe lina Kazi kweli leo kwa Wapopo ( Wanaijeria ) ambapo nina uhakika litafungwa tu.
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Lengo la Simba isiwe kusajili kwa Sasa. Ina wachezaji Bora Sana Afrika. Kocha aendelee kuwaamini. Labda itoe Ulaya

    Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu. Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga magoli mengi kuliko mfungaji yoyote ligi ya Tanzania tokea aje Sawadong ametokea Chan, timu ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simba msijifiche kwenye kichaka cha kumfunga Whydad kwa Mkapa

    Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama unaona Simba SC imefanya vibaya leo mkitoka kwa Wanaijeria ombeni nao Mechi ya Kirafiki mkoge goli 10

    Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho! Mkiambiwa hamna akili mnanuna!
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba, suala la Baleke kuwa na mkataba wa kudumu na Simba msilichukulie kama ni la kawaida

    Baleke ni hazina ya Simba, Sasa tunawapa angalizo viongozi wa Simba, hakikisheni Baleke anakuwa Mali ya Simba jumla. Vinginevyo tutatoana roho
  13. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile game ngumu na ambayo inafuatiliwa kwa ukaribu sana na watu wote wapenda soccer la africa, game ya robo final ya caf champions league baina ya miamba kwelikweli, timu zenye misuli ya kutosha, Simba sports club vs Wydad athletic club. Ni palepale machinjioni ambapo...
  14. John Sin

    JamiiForums Tanzania Leo Ally Salimu ataigharimu Simba pakubwa

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba kutoa sare ya 1-1 mchezo wa leo dhidi ya Wydad

    Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco. Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi kuwa rahisi huku Whdad wakionesha ubabe dhidi ya Simba. Mchezo wa mwisho Simba dhidi ya Wydad Simba...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Mechi kati ya Simba na Wydad ni Ngumu

    AMRI KIEMBA|+ 🗣“Kwa mazingira na namna ambavyo hizi timu zilivyo [Simba na Wydad Casablanca] na kwa heshima ya mpira wa miguu Simba inaweza kushinda kwa Mkapa.” 🗣“Kwa takwimu sasa ndio unakuja kugundua ugumu wa mechi, ugumu unaletwa na timu ambazo zinacheza. Wydad ni bingwa mtetezi lakini...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

    Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada ya kusemekana kuwa Beno amesaini kuchezea Singida Big Stars (SBS) kuanzia mwishoni mwa msimu huu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

    Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe. Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Magwiji wa zamani wa Simba unawajua? Wataje

    Wataje magwiji hawa, na utuambie kama uliwahi kuwaona wakicheza
Back
Top Bottom