simba

  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Mtag shabiki wa Simba na umtakie pole kwa kumaliza msimu bila taji lolote

    GENTAMYCINE pole sana ila upunguze mdomo na uongo uongo, Simba msimu huu hakuwa na kikosi cha maana.
  2. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Simba itateseka kwa misimu kadhaa jiandaeni kisaikolojia

    Natumaini wazima, Najikita kwenye uzi nikiwa nimechunguza na nikagundua ndani pa Simba kuna moto unawaka taratibu siku huu moto utakuja kulipuka paaaaah. Viongozi na mashabiki watakimbiana, Mo atajiuzulu, kibaraka wake atakimbia timu. Kuna laana inawatafuna Simba chini kwa chini, tena ni liana...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji Nitengee Tsh Bilioni 4 tu nizunguke duniani nikuletee Majembe ya Simba SC Kuzoa Vikombe vyote Africa

    Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake. Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Kichwa cha habari chahusika. Baada ya kusuasua kwa misimu miwili ni dhahiri sasa kuna mabadiliko yafuatayo yatafanyika Simba SC: 1. Fred Nganjiro (Vunjabei) hataendelea kuwa kit supplier wa Simba. Itapewa kampuni ya nje ya nchi (hasa Afrika kusini) au ndugu yetu mmoja atachukua tender. 2...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhalini tutengeeni Siku Maalum kwa Sisi Mashabiki 'Kuwapiga' Wachezaji wetu Wanaozingua

    Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni..... 1. Clatous Chama 2. Henock Inonga 3. Said Ntibanzonkiza 4. Pape Ousmane Sakho 5. Shomary Kapombe 6. Kibu Denis 7...
  7. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba sio Wachezaji, ni mashabiki

    Ndugu zangu makolo hongereni kwa kumaliza msimu huu na makombe kedekede.Timu yenu mmeiharibu wenyewe kwa kuwapa wachezaji wenu sifa zisizofaa na hiyo imepelekea wachezaji wenu kuwa na OVER CONFIDENCE. Kipa wenu hamna kila kitu ila mnavyompaisha sasa. Chama wenu hamna kila kitu mnavyompa misifa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Chama na wachezaji wenzako waandamizi wa Simba SC, hamjachukua hongo kweli ili mcheze chini ya kiwango?

    Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam. Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao...
  9. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Anaandika mwana Simba Yericko Nyerere

    Ndugu Mo Dewji, Salim Tryagain na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii, imekosa ubingwa wa Mapinduzi, imekosa ubingwa wa ligi kuu, imekosa ubingwa wa Klabu Afrika. Na sasa...
  10. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Tatizo la Simba SC lilianzia hapa

    Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu. Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa, unapumzisha wachezaji kwa ajili ya nusu fainali na unakandwa kama kawaida

    Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Simba km mnataka kufika mbali msimu ujao faya hivi.

    1) Fumua timu yote. Wakubaki hawazidi 8 nao wapigwe mkwara. Mfano inonga anazidisha mbwembwe kwenye wakati usio muafaka. 2) Fumua benchi lote la ufundi. Hakuna kocha hapo. Kocha anashindwa kusoma mchezo na wechezaji. 3) Simba waache nyimbo za kujipanga kila msimu. Wao Kila msimu ukikaribia...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

    Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
  14. Bagabeach

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao 2023/2024 Simba tunahitaji sajili hizi ili tuwe imara

    Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao, Binafsi napendekeza 1. Feisal Salum (feitoto) 2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal 3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal. Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nusu Fainali Azam FA, kama Azam fc wakiifunga Simba na Singinda Big Stars wataifunga Yanga pia

    Yanga haiwezi kuruhusu Simba wainue makwapa msimu huu.
  16. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Simba 'Yafa Kiume' huko Lindi. Kupokelewa kishujaa Dar es salaam

    Kilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi yake huko Lindi. Magoli hayo yaliyofungwa na Baleke kwa upande wa Simba na Kabunda kwa upande wa...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

    Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city. Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Simba kuukatia tamaa ubingwa ni kosa kubwa sana

    Kuanzia kikosi alochopanga kocha hadi uchezaji na hatimae draw ni dhahiri Simba walikuwa wameshakata tamaa ya ubingwa mwaka huu 2023. Hili ni kosa kubwa sn wamefanya. Hata mwaka jana walikata tamaa mapema na kumalizia mechi zao ilimradi kwa kutoa sare nk bila kujua kuwa hata wapinzani wao...
  19. P

    JamiiForums Tanzania FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

    Mechi ni saa 1 usiku Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali. Kibu D naye mechi hii kaikosa. LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

    Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora. Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
Back
Top Bottom