simba

  1. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga kwa tamasha la kuwacheka Simba

    Habari wakuu. Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa mpira wa Miguu. Nikaanza kuipenda Simba nikiwa na miaka 7 Mwaka 2003. NAOMBA NIWAPONGEZE YANGA KWA KUANDAA TAMASHA LA KUICHEKA SIMBA KWA SABABU ZIFUATAZO. 1. CHANZO KIPYA CHA MAPATO. Yanga wametumia Fursa kutoka utani WA jadi wa kugawana wake...
  2. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

    Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city. Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
  3. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

    Soma barua ya TFF ====== Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki. Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa katika picha

    Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF. Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mechi Kali za Kutizama Wiki hii ni Simba vs Namungo na Simba vs Azam nyinginezo tayari Biashara imeshafanyika

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Klabu ya Simba mna maswali ya kujibu, michango ya Ujenzi wa Uwanja imeshia wapi?

    Desemba 17, 2021, Klabu ya Simba ilizindua kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja wao uliopo Bunju, Dar es Salaam. Malengo ni kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 30,000. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba kwa wakati huo, Barbara Gonzalez, ndiye aliyekuwa akizungumza zaidi siku...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

    Maelezo yote yapo katika picha
  8. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

    Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Simba ni timu kubwa sana Yanga wasubiri

    Check hao wafutiliaji wa michezo ya Simba na Yanga kimataifa Yanga anajaribu kujilijganisha na Simba lakini bado sana nasema bado sana. Huo ndo ukweli wenyewe, huwezi kuwa na timu Bora kimataifa yenye mfungaji mmoja kazeni boot. Mapovu ruksa mvimbe mpasuke na mwiko wenu huko nyuma
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Yanga ikitwaa CAFCL Simba watasema washatwaa pia hilo kombe, tuweni nao makini

    Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana. Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwezi mmoja uliopita kama kuna taarfa...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee mashabiki wa Simba, kwa sasa wanapita katika kipindi kigumu sana

    Diagnosis iko hivi; Stress level iko juu Wana msongo mkubwa wa mawazo Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and Kujinyonga ni most natural and probable consequence. Mungu awafanyie wepesi.
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

    Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF. Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani? Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

    Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wengine hawajitambui Kabisa

    Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chama na kipa Ally ndio walioiondosha Simba mashindanoni

    Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim. Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  18. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mashabiki wa Simba

    Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana... Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao.. Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  20. master of cities

    JamiiForums Tanzania Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

    Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
Back
Top Bottom