simba

  1. Tayukwa

    JamiiForums Tanzania Watani wa jadi Simba na Yanga

    Habari zenu wanakabumbu Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo. Hizi ndio timu kongwe nchini zenye mashabiki wengi kuliko timu nyingine za humu ndani. Tetea timu yako kwa mazuri yake. Pondea timu ya jirani...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

    Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza. Kutokana na hilo kwa mujibu wa taarifa nilizopata ni kuwa kuna baadhi ya ofa watazifikisha Msimbazi kumhusu Mteja...
  3. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba, timu iliyopoteza mechi chache kuliko zote msimu huu

    Rekodi za Simba msimu huu zimebezwa sana kiasi kwamba watu wamekuwa wanazungumza mambo yasiyo na uhalisia ili tu ajenda zao binafsi ziaminiwe. Kuna takwimu nyingi zinazothibitisha kwamba Simba ya msimu huu haijafanya vibaya kama tunavyoaminishwa. Leo nakumbushia kuwa Simba mpaka sasa, zikiwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukiweza elewa hii picha uwezi bishana na mashabiki Simba

    Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo 1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019 2) Wengi wao dish zimeyumba 3)Wengi wao much know 4) Wenye akili wanajitoa ufahamu 5) Wengi wanabishia uzoefu 6) Watu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Simba kwenda na jeneza siku ya Simba day imetulaani

    Mwenendo wa Simba sio mzuri kwa hii miaka miwili sasa kutokana na Viongozi kutosimama imara. Pia Viongozi wa Simba kuruhusu Jeneza kuingia Uwanjani Siku ya Simba Day ilikuwa sio nzuri kwa mustakabali wa kiimani za watu. Simba kutoka hapa tulipo wafanya yafuatayo Msimu Ujao Kuondoa wachezaji...
  7. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Wale tunaomuua Simba leo tukutane hapa

    Leo Simba mnyama mkali mwituni (in Greatest Of All Time 's voice) anacheza na Marumo Gallants ya hapa Bongo, hivyo Mimi kama Afisa Ubashiri Mwandamizi Daraja D (Iwapo Mama akifanya kweli May hii naenda Daraja E) napenda kuwasanua kuhusu mchongo pesa. Popote ilipo hii game,iwe 1,xbet au...
  8. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Simba wamekuwa wazururaji wengine wanakamatwa, Wananchi tuwe makini

    Napenda kutumia nafasi hii kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kwani Simba wamekuwa wazururaji tena hawana lengo wala shughuli yoyote ya maana wanayofanya mjini na wakati mwingine wanaweza kuwadhuru bila sababu yoyote. Simba hao wenye hasira kali ambayo haijafahamika chanzo chake wamekuwa...
  9. mr_stev001

    JamiiForums Tanzania Why always Simba?

    Nashindwa kuelewaa kitu kimoja yanga akicheza na tp mazembe anasemwa sana Simba, Yanga akicheza na malumo anasema simba sijaelewa kwani simba ndo anashiriki hayo mashindano? Sijapendaaa✅✅
  10. John Gregory

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Simba ihamishe nguvu kudai katiba mpya kwa sasa walau kutoa mchango kwa jamii kuliko kukaa bila specific mission

    Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
  11. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakati huu Simba ihamishie nguvu kudai katiba mpya kuliko kukaa

    Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei anaunga-unga, Simba msimpe mkataba

    Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

    Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo...... 1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania? 2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako? 3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC? 4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

    Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo. Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...
  15. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Yanga kuvuta Tsh. Millioni 300 wakifuzu fainali

    Milioni 300 Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga Nawapenda Japo Mimi ni Simba na sitahama

    Hello family, Hongereni Yanga na Mungu awape heri na fanaka kwenye haya mashindano ya CafCC. Inshallah nguvu moja na upendo For our country and for sports. Wadiz
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba SC tuombe Radhi upesi kwa Kutudanganya leo wana Simba SC katika Interview yako

    Haya baada ya Kutudanganya wana Simba SC (GENTAMYCINE nikiwemo) na Wadau wa Soka / Michezo leo katika moja ya Interview yako kuwa Bonus inayodaiwa na Wachezaji wa Simba SC ni Shilingi Milioni Ishirini tu. CEO wa Simba SC Mimi GENTAMYCINE nakuambia tena Nikijiamini kabisa huku nikiwa na Urafiki...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  19. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Habari Simba: Wachezaji Wanadai Bonus zao Na Club haina Pesa

    Meneja Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally Amekiri wachezaji wa Timu hiyo kudai bonasi. " kweli wachezaji wanadai Bonasi zao za mechi kadhaa, Kuna wakati taasisi inakuwa na fedha inalipa madeni yote Kuna wakati haina fedha inalimbikiza madeni Mzigo ukipatikana watu wanalipwa" Ahmed Ally...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni hatua akina Chama wameridhika mno

    Viongozi wa Simba Mashabiki na wanachama liangalieni sana suala la wachezaji wa Simba kuna wachezaji SImba wameridhika na matokeo ya huko Nyuma hawajitumi wala kuumia. Mfano Chama anakosa goli wala hauumiii, Mwakani tulete damu nyingine yenye uchu wa matokeo. Why mwl hawachezeshi PHIRI na OKRAH...
Back
Top Bottom