Kwa heshima kubwa napenda kuishukuru Simba Sports Klabu. Hii timu ilifanya umafia ambao naushukuru hadi Leo. Walivamia Airport wakamuiba Ngoma wakajiona majambazi. Chezaji ngongoti, legelege. Baada ya hayo Yanga wakamshusha ZIZU wa IVORY COAST. Mpaka Wasemeeee.
Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa.
Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x)
Alikua Mbowe siku ya Kule Rwanda Leo Samia.
Tupo zama za kidijitali,
Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra).
Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Viongozi Murtaza Mangungu ni Kirusi na Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ni Mtu wa Kuuza na Kupenda mni 10%?
Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa ndani ya Simba SC ( hata Kamati ya Utendaji ) kuna Virusi ( Watu wa Yanga SC ) ambao...
Kwa huu mpira wa fainali ya AFL mkondo wa kwanza ninaoushuhudia hapa, nathubutu kusema Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly.
Simba na wenzao wote wanacheza mpira wa taratibu. Wote wana wachezaji wazito. Hakika, kama Simba angepangwa na Wydad au Mamelodi hii, tungepata aibu ya kitaifa.
Wababe...
Nilichokiona baada ya kuangalia marudio
1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.
2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi...
Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida.
Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga.
Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa.
Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!?
Hamsa!
Naomba kuwapa pole mashabiki wa Simba kwa kipigo Cha Leo. Sio lelemama.
Kutokana na kipigo hicho Simba inatakiwa ikitumie kipigo hicho Kama changamoto ya mabadiliko. Ila Simba Kama Klabu ikichukulia kipigo hiki Kama kawaida, basi yatakuja makubwa zaidi.
Naomba nishauri yafuatayao:
1. Kwanza...
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
Kwa formation hiyo, Simba SC inaenda kuibuka na ushindi mapema sana.
Nimejaza viungo Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, na Mzamiru Yassin ili kuwazuia viungo wa Yanga na kuongeza mashambulizi kwenye lango la adui.
Kanoute anasimama mbele ili kuzuia rafu anazoweza kufanya karibu na lango lake la...
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023
Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba
Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka...
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club.
Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
Friends of Simba wamerudi kazini
TAJIRI na kipenzi cha mashabiki wa Simba, Mohammed Dewji ameteua wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri ambao kati yao 13 ni kutoka kwenye kundi lenye nguvu la Friends of Simba.
Duru za ndani ya Simba zinasema kuwa uteuzi huo ambao vigogo saba waliwahi kuwa viongozi...
Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba.
Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.