simba

  1. JamiiForums Tanzania Dili za Viongozi na uwoga ndizo zitakazomfanya Mgunda Asiwe kocha mkuu Simba

    Kwa makocha wote waliopita Simba ni yeye pakee ndio hupata matokeo mazuri. Ata akiwa na wachezaji wadogo kabisa. Lakini likija swala la upigaji kwenye mikataba, Juma Mgunda malipo yake yatakuwa ya kawaida sana. Sasa aje kocha wa kigeni aanze kukataa wachezaji dili za usajili zianze upya. Au...
  2. JamiiForums Tanzania Kilichosababisha kocha Fadlu kuondoka Simba

    Kuna kiongozi mmoja wa Simba alimtisha kocha Fadlu Davids kuwa watamfukuza kazi kama Simba itakosa ushindi kwenye Mchezo wowote ule Ujao na kama timu haitocheza vizuri ndani ya mechi mbili zijazo. Hili lilimfanya kocha huyo kuhisi kuwa kazi yake HAIKO SALAMA na kuhisi kuwa anafanya kazi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamebanwa hawapati tena percentage za usajili, wanasababisha ugumu kwenye mafanikio ya Simba

    viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao. Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote). hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Makocha hao hapo sasa simba kazi kwenu

    Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu! Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅ Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅ Miloud Hamdi atafukuzwa pale Ismailia muda wowote wiki hii ✅ Wengine mnaoweza kuwatafuta: Miguel Gamondi - Singida Huwa...
  5. JamiiForums Tanzania SIMBA SC mnaua timu kwa kuendekeza ushikaji

    Wakuu habari. Moja ya shida kubwa inatugharimu sisi wanazi wa Simba kukosa furaha na timu yetu kutoeleweka ni kutokana mambo ya kuendekeza ushikaji na huruma za kipuuzi. Mfano zaidi ya misimu minne timu haijawahi kufanya usafi wa uongozi pale juu ,matokeo yake tunaenda na mbinu na mikakati ile...
  6. JamiiForums Tanzania Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

    Huku Maloid kule Jonathan Sowah.. Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA maandamano ya Oktoba 29, na taifa lililojaa watazamaji badala ya wananchi

    Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
  8. JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

    Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao...
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC hapa hapa JF nilishawahi kuwaambia ongeeni na Nabi ili mumchukue mkanipuuza, hatimaye baada ya Kipigo juzi mmeanza kuzungumza nae aje

    Mkimpata kila la kheri atatusaidia kwani ninamuona ni bora mara mbili ya Fadlu ila Fadlu ni Kocha wa Kimataifa pekee.
  10. JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya. Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga. Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Captain ya Yanga Dickson Job akimtambia Captain wa Simba Shomari Kapombe kabla ya kuanza mchezo

    Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo. Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa na waamuzi kuchagua upande wa kuanza, Job alimwambia mwamuzi Arajiga na Kapombe kuwa hakuna haja ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Simba na coach Fadlu

    Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga Ramovic kamfunga Milouf Hamdi kamfunga Roman Folz kamfunga Tuliaminishwa 1. Usajili huu kuafanya...
  13. JamiiForums Tanzania Simba wangetubu tu

    Waseme lile 'goli' la Yanga dhidi ya Mamelodi lilikuwa goli au siyo goli? Tofauti na kutubu hili suala haya yanayowapata litaendelea.
  14. JamiiForums Tanzania Hapo katikati Mashabiki wa Simba walianza kunenepa. Sasa Tabu imerudi tena

    Hali naambiwa kwa Tanzania ni mbaya mashabiki wa Simba wameanza kukonda na kukosa raha. Hapo katikati walianza kunenepa baada ya Ligi kusimama. SASA LIGI IMERUDI TAABU IPO PALE PALE.
  15. JamiiForums Tanzania Game imeisha. Simba watakachoweza ni kupunguza idadi ya Magoli

    Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. HAMNA NAMNA WATAEPUKA KIKOMBE HIKI. YANGA TUMEKWEPA MITEGO YAO YOTE.
  16. JamiiForums Tanzania Simba ikishinda leo hii Adhabu nipate kwa wiki mbili mfululizo

    Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali. Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ule ndio mpira wa Simba, natamani ifungwe kesho ili Fadlu afukuzwe

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema. Timu haieleweki inacheza vitu gani, Hadi unajiulza, "Sasa huko pre season walienda kufanya Nini?? Mazoezini wanafannya...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kutumia Numerology Simba Kesho itashinda

    Kwenye numerology, tunatumia namba zinazohusiana na majina au matukio ili kutabiri matokeo au mwelekeo wa jambo fulani. Hapa, unaweza kuchambua kwa kutumia majina ya timu au tarehe ya mechi. Hebu tuone jinsi tunavyoweza kutumia numerology kwenye mechi hii. 1. Tarehe ya mechi: Jumanne Septemba...
  20. JamiiForums Tanzania Simba Sc imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi moja ya nyumbani ya CAF CL

    Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry. Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…