Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
Nasikitika sana na nazidi kusikitika.
Nawasikitikia zaidi mashujaa wetu waliojitoa kulitetea taifa mwisho wa siku wameishia kupoteza maisha lakini asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanawapambania ni wapumbavu kwa kiasi kikubwa sana.
Niliingia kwenye instatrack kuchungulia engagement rates...
Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure......
UTANGULIZI
Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji
1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia)
2...
SEHEMU YA KWANZA 1
Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty.
Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya Zanzibar.Niliingia Zanzibar lengo ni utafutaji, sikuwa na pakufikia nilikuwa nanyoosha TU barabara...
Baba Kibu Denis kafariki wakatoa pole, kuchangusha watoto wao wakiwa wagonjwa wanaanda mechi za hisani ila watanganyika walio kufa kimya kimetawala, eti tujaze viwanja shut up wanao jaza viwanja wamo makaburini wamerundikwa ka mizoga, Kuna watu wanaamini dunia ni yao time will tell.
Here we go...
Jana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.
Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana.
Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya...
Katika tukio ambalo limegusa mioyo ya wengi, mashabiki wa soka nchini Tanzania tujipamge kuonyesha mshikamano na majonzi kwa wale waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki yaliyofanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 ambapo familia nyingi zimepoteza wapendwa wao katika mfululizo wa...
Unakuta mtu ni shabiki wa mpira lakini huo mpira wenyewe anaoshabikia haujui.
Timu yake ya ulaya inafungwa hadi goli nne tano wengne had sita lkn anasema huo ndo mpira
Lakn ikitoa sare tu timu yake ya uku matopen utasikia kocha mbovu afukuzwe halafu huyo huyo mudq wote anamsifia arteta
Timu...
Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z.
Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa
Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen ni kuwa Simba na Yanga watalazimika kutafuta viwanja vingine kwasababu dimba la Benjamin Mkapa litaendelea na matengenezo makubwa mwezi huu hivyo kupisha mchakato huo matumizi ya uwanja huo yatafungwa kwa muda.
Uwanja wa Mkapa umefungwa kwa kipindi cha miezi...
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Nyankumbu, mkoani Geita, Septemba 16, 2025 alisema Mpambano uliopo kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) uchaguzi wa mwaka huu...
Bi Mkubwa leo kaamua kumpumzika kuwacheki Yanga na Simba mechi ambayo inaendelea kwa sasa uwanja wa Mkapa.
Anawatazama moja ya wapiga kura na wanufaika wa goli la mama
Kwa muda mrefu, vilabu vya Simba na Yanga vimefungamana na Mo Foundation na GSM Foundation katika shughuli za kutoa misaada kwa jamii.
Sina uhakika kama kuna mtu amekaa akawaza ni kwa nini hivi vilabu vimeunganana na taasisi hizi badala ya kuanzisha taasisi zao za kutoa kwa jamii.
Hivi vilabu...
Vilabu vinazindua jezi nzuri.Swali ninalojiuliza ni kwanini vyomba vya habari mtandaoni, wanahabari mtandaoni na watu wengine mtandaoni wanalinganisha jezi za timu mbili tofauti wakihoji Jezi Gani Kali ? 😳 Huwa na maana Gani ?
Binafsi nafikiri Haina mantiki yoyote kwani Azam mashabiki wake...
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, tulizilea hizi timu katika mtindo huo na sio rahisi leo kuzitenganisha na CCM, chombo pekee kinachoweza kufanya hivyo ni FIFA kuzipa onyo na kuendelea kuzifuatilia kwa ukaribu.
Kwa maslahi mapana ya soka letu ni vema kukaandaliwa kanuni itakayozui timu zetu hizi kutokuifunga timu mojawapo zaidi ya mara tano mfululizo.
Kutokana na ukubwa wa hizi timu hakika zimebeba idadi kubwa sana ya mashabiki.
Sio jambo jema kukuta kuna shabiki analia na kukosa furaha kwa zaidi...
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",
Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂
acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.