simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

    Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi. Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
  2. The introvert

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

    Habari za muda huu wana jamvi Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani? Ule utani wa jadi uko wapi? Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili. Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Rais Samia ana mchango mkubwa sana kwa timu ya Simba kufika fainali

    Chama cha Mapinduzi CCM kinaitakia kila la heri timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho "Rais Samia ana mchango kwa Simba kufika fainali kupitia hamasa ya goli la mama" -Amos Makalla katibu Mwenezi wa CCM.
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara ageuka Mwalimu wa Kubeti Bungeni, adai masuala ya Kubeti yanasomwa Shuleni, atumia mfano wa Simba na Yanga

    Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata ya Simba na Yanga ni mpango ili kuwapumbaza watanzania wasifatilie yanayoendelea kwenye siasa

    Mods msiufute huu uzi. Ukitulia na kutafakari Kwa utulivu hilo swala ya SIMBA na YANGA kusuguana kuhusu huu mchezo wa marudiano utagundua kuwa, 1. Ni mpango uliosukwa kwa makusudi ili kuwafanya WATANZANIA wawe bize kujali huu upuuzi na kujiweka mbali na siasa ambazo kimsingi ndio ukombozj wa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nachelea kusema kuwa hii nchi kuna mambo ajabu. Ni miezi miwili Sasa Kila siku redioni na magazetini wanajadili mechi ya simba na yanga

    Asubuhi ukifungulia redio kwa masaa zaidi ya 2 utasikia wanajadili mechi ya simba na yanga. Wanajadili jambo hilohilo kila siku. Wakibadili mada basi italetwa mada ya kamari. Mara cheza pesa, tatu mashetani, weka butua. Failed state Failed leadership Failed citizens
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kama Derby ya Kariakoo ilihairishwa kwa sababu timu moja wapo iligoma kucheza basi si vibaya bodi ya ligi wakahairisha tena

    Mnamo 07/03/2025 mida ya saa 6 usiku klabu ya simba kupitia Idara ya habari ichapisha na kusambaza habari za kutoshiriki mchezo wa ligi ambapo ulipaswa kucheza keshi yake(08/03/2025) watu wengi tulipigwa na butwaa kwa maamuzi haya ambayo yaliipa hasara timu ya Yanga kutokana na maandalizi ndani...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu akachezea Simba na Yanga kwa wakati mmoja na kote huko akajitoa kwa moyo?

    Baada ya ujio wa Hon Lissu Pale CDM Nimejiuliza hili swali. "Je inawezekana mtu akachezea simba na yanga kwa wakati mmoja na kote huko akajitoa kwa moyo?." Ikiwa inawezekani basi kuna namna watu waliamua kucheza na akili za Watu kwa mgongo wa siasa. System Authority Power Chadema ina hold...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Sakata la Simba na Yanga tumewaachia mamlaka za mpira

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema kuwa Serikali haiwezi kuingilia mzozo wa klabu za Simba na Yanga kutokana na kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ambazo zinakataza serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu Prof. Kabudi ametoa kauli...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge limepiga marufuku mjadala wa sakata la mechi ya Simba na Yanga

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Mhe. Edwin Swalle, kuacha kulizungumzia sakata la mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, kwa kuwa tayari suala hilo lipo kwenye ngazi za maamuzi na linaendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa taratibu rasmi. Mhe. Zungu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Kabudi leo nakuzingua, uje na majibu mgogoro wa dabi ya Simba na Yanga

    "...Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili...
  13. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mifano halisi jinsi ambavyo Simba na Yanga zimeharibu akili za Watanzania wengi.

    Moja kwa moja. Hii ni mifano michache ila Kuna aina mbalimbali za uchizi kuhusiana na mambo ya Simba na Yanga . #UziTayari
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi October 2025: Tukapige kura kuzilinda Simba na Yanga dhidi ya wanaotaka kuzifuta

    Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia anafanya siasa Simba na Yanga; kocha wa Taifa Stars halipwi mshahara!!

    Wadau nchi hii ina sanaa nyingi sana. Kimsingi hamna uongozi wa kujenga taasisi imara badala yake mna kikundi cha watu wanaowekeza kwenye siasa ya kubaki madarakani. Imebainika kwamba wakati Samia akitafuta kura kupitia Simba na goli la mama, kumbe kocha wa Taifa Stars hana mshahara wala...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga ni takataka

    Simba na yanga ni takataka zunatumika Kuua harakati.
  17. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Lema anatakiwa aelezwe Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA

    Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao.. Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja Wajaribu kuchukua kiongozi wa...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa Derby ya Simba na Yanga

    Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

    Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Matamko ya viongozi wa chadema kwamba wakiongoza nchi watazifuta Simba na Yanga yana busara yoyote? Kosa la vilabu hivi kwa chadema ni lipi?

    Nimefuatilia matamko kadhaa ya viongozi wa chadema wakijipiza dhidi ya vilabu hivi pendwa. Kwa nini wamedhamiria kuvidhuru ? Kosa lao nini?
Back
Top Bottom