simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FYATU

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi mnaoshadadia Simba na Yanga nazo zicheze saa nane hoja zenu hazina mashiko.

    Kwamba ndio italeta usawa kwenye ligi,hapana nakataa. Yapo mengi tu ya kurekebisha yanayokiukwa kuleta usawa badala ya kulazimisha wenzenu wakaungua na jua eti huo ndio usawa.Huo usawa roho mbaya?. Mmekuwa kama chongo anayetamani Mwingine naye apoteze jicho ndio aone wapo sawa.Kama kucheza...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua CCM ni matapeli ziangalie Simba na Yanga wanavyozitumia

    Mo wakati anaingia Simba alitoka kustaafu kuwa Mbunge wa CCM uko Singida Akaja Simba akatudanganya Simba itaichukua champions ligi Akajaza wahuni wa CCM kwenye timu Kama Mangungo na Try Again. Kibaya zaidi kajenga uwanja na kuuita jina lake badala ya jina la club Katiba ikapigwa kapuni na...
  3. Dabil

    JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

    Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri. Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El Regal, huku msaidizi namba mbili akiwa Samir Gamal Saad Mohamed. Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA Si https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
  6. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

    Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa na akili timamu ukashabikia Simba na Yanga. Ni ngumu sana labda uwe unapiga pesa

    Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili. Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bulaya adai ripoti ya Machi 8 ya Simba na Yanga bungeni

    Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu. Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Maboresho yanayopendekezwa na Yanga yakitekelezwa, Simba na Yanga hawatakua peke yao—timu nyingine zitauona ubingwa

    Kwa miaka mingi, Ligi Kuu Tanzania Bara imeonekana kama ni jukwaa la timu mbili—Simba na Yanga—ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikinufaika na mfumo uliopo, huku timu nyingine zikipambana bila mafanikio makubwa kutokana na mazingira yasiyo na usawa. Lakini sasa upepo wa mabadiliko...
  12. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Simba, ila imani za kishirikina ndio zinazitesa Simba na Yanga

    Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu. Wewe kataa au kubali huo ndio ukweli ni hichi ndio kilichotokea tarehe 8/03 ndio kinachoanya gumzo kuwa kubwa ila...
  13. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinatumika sana kulinda maslahi ya tabaka tawala na kuua agenda zenye maslahi mapana ya nchi

    Soon Watu wataacha Agenda Muhimu za NO REFORMS NO ELECTION na kuanza kujadili ujinga ujinga wa Timu Ambazo hazina msaada wowote Ule Kwenye maisha Yao ya Kila SIKU Zaidi ya wao kuzinufaisha hizo Timu.
  14. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania NI BORA HIYO mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga. Ni BORA IFUTWE KULINGANA NA KANUNI...

    Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili... Na ukizingatia yoyote Yale NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA.... ASANTENI..
  15. W

    JamiiForums Tanzania Inakuwa ngumu kuamini kwa mara ya kwanza watanzania wanazungumzia zaidi siasa wakati Derby ya Simba na Yanga iliyojaa ukakasi inakaribia

    Sio Tanzania niliyoizoea hii, Tanzania nayoijua inapokaribia Derby Talk of the town huwa ni Simba na Yanga. Tena hii derby inayokaribia imejaa ukakasi kama itachezwa au lah, kuna kiu ya kuona TFF watatoa maamuzi gani, kurahisisha kwa maneno machache, Tanzania niliyozoea ilibidi kuwe na debates...
  16. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

    Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu). Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo. Serikali inawatumia Hawa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Feisal apewa ofa ya kuongeza mkataba hadi 2028, signing fee milioni 800+, mshahara milioni 80

    Azam FC wanawakumbusha watani wa jadi kuwa wao ni level nyingine, walishamwaga bilioni 250 kwenye ligi kuu na bado wanatoa pocket money milioni 50 kwa kila timu kila mwezi, kwao si chochote kumpa Feisal ofa ya mshahara wa takribani milioni milioni 80 na signing fee mara 10 zaidi. 🔹 Mkataba wa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu kuhusu siasa za mpira wa Simba na Yanga katika tuhuma za kuhujumiana na upendeleo kati yao

    Huwa naona mashabiki na wasemaji wa pande zote wa hizi timu mbili za Simba na Yanga wakiwa wanalalamika kwa uchungu sana kuhusu upande mwingine kuwahujumu, wakati mwingine huwa naona kama ni utani tu ila wakati mwingi huwa naona wako serious sana hadi mishipa na jasho vinawatoka na wengine...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

    Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi. Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
Back
Top Bottom