silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Majambazi wasiotumia silaha

    Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa maisha. hawa ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi hapa mjini. Ila kiuhalisia tusilaumiwe mana...
  2. Q

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    ONYO KUHUSU MAANDAMANO YANAYOHAMASISHWA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ametoa onyo kali kwa wananchi waliopanga kufanya maandamano leo yakihamasisha uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini. RPC Mambosasa amefikia uamuzi huo baada...
  3. Historia ya udhalimu ikihifadhiwa ni silaha kwa aliyedhulumiwa na huwa funzo jema kwa dhalimu

    HISTORIA YA UDHALIMU IKIHIFADHIWA NI SILAHA KWA ALIYEDHULUMIWA NA HUWA FUNZO JEMA KWA DHALIMU Mgahawa mpya ulitangazwa kuwa utafuguliwa tarehe kadhaa na ukawa unafanyiwa matangazo katika gazeti maarufu mjini Tel Aviv na tangazo likawa limetiwa kila aina ya maneno ya kuvutia wakisema, ‘’Watch...
  4. Ni kitu gani kinachoendelea ndani ya Korea Kaskazini?

    Habari! Kumekuwa na sintofahamu hivi sasa nisemapo maneno haya hasa katika ukanda wa rasi ya Korea ambapo Korea Kaskazini imeendeleza wimbi la vitisho kwa jirani zake na hivi karibuni imetishia kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo kutaibuka mashambulizi dhidi yake. Wakati hayo yakiendelea...
  5. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam lakamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti. Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
  6. Kunyamaza ni silaha kubwa

    Wapinzani mkiona mnayemtendea Ubaya halipizi, Mnamchukia lakini yeye anawaonesha Upendo. Mnamdharau lakini anawaheshimu. Mnamtuhumu wala hajibu tuhuma zenu. Mnamtenga lakini ameendelea kuwaonesha Upendo na umoja. Mnamshusha anavumilia. Mnamnunia, yeye anawachekea. Mnamhujumu yeye anasonga...
  7. Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Gilles Muroto amesema leo alfajiri walipokea taarifa kutoka kwa Mbunge wa Viti Maaalum, akiwa na Dereva wa Mbowe, Wilhad Urassa (34) kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA wakati akipandisha ngazi kuelekea ndani kwake inadaiwa alishambuliwa na watu 3 Kamanda Muroto...
  8. Unapenda mahusiano yako yadumu?

    Wapendwa wangu wana jukawaa salaam. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni jambo la kawaida kwasababu tunaingia katika mahusiano tukiwa na tabia tofauti tofauti na tena...
  9. Imetosha, hakuna haja ya silaha mpya maana za sasa tu zikitumika dunia itafubaa

    Hapa nazungumzia weapons of mass destruction Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu. Silaha zikiendelea kuzinduliwa nahisi siku ikitokea hata ugomvi wa russia na china basi bara lote la asia linaweza kumeguka
  10. L

    Imagine karne ya 21 kiongozi anatumia neno Mabeberu kama silaha. Anajua kweli ubeberu upo hata kwenye biashara ya mchicha hapa nchini?

    Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI. Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara? Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
  11. Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

    Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mbunge wa Kishapu (CCM) Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kukutwa na silaha 16, risasi 536 pamoja na nyara za Serikali == Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman...
  12. Unadhani hawa Wanaume wangekosa hizi Silaha muhimu za Wanawake wangechukua Silaha zao zingine zipi wajikinge na CORONA?

    Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
  13. Uume: Silaha hatari zaidi ya AK-47

    Wakati dunia ikiendelea na uvumbuzi wa zana mbalimbali za kivita hususan zana za kinyuklia na zile za kibaiolojia, hakuna uvumbuzi wowote duniani ambao umefanikisha kupatikana kwa silaha hatari zaidi kama uume. Mods tafadhali msifute uzi huu kwani utaongelea kweli tupu 100% Wakati silaha...
  14. Z

    Mbatia ni silaha ya mwisho ya CCM katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Uliwahi kujiuliza ni kwanini kila anaehama chama pinzani kwa sasa hivi anajiunga na NCCR- Mageuzi? Hiyo sio bahati mbaya bali ni mbinu mathubuti ya CCM kununua viongozi wa upinzani na na kuwasukumia NCCR- Mageuzi (upinzani). Malengo makuu ya mbinu hizi ni: Kuhakikisha NCCR- Mageuzi haiungani...
  15. Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  16. S

    IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

    Ni jambo ambalo linazidi kuenea Tanzania. Mara nyingi unakuta askari polisi wanatumwa kwenye tukio linalohitaji silaha (japo ni machache Tanzania) huku wakiwa wamesheheni silaha na bado wamevaa kiraia. Kwa nini wanafanya hivyo? Je inaruhusiwa kwa askari polisi aliye kwenye response unit kwenda...
  17. Kimara, Dar: Polisi wawakamata kwa uzururaji Daktari chriscyrilo na Daktari Shindo Kilawa

    Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi (bila kuonesha vitambulisho) wakiwa na silaha za moto wamewakamata madaktari wawili, Dr. Chriss Cyrilo (kushoto) na Dr. Shindo Kilawa (kulia) wakiwa maeneo ya Mbezi jijini Dar usiku huu. Watu hao hawakutaja sababu za kuwakamata, zaidi ya kutumia...
  18. Tetesi: Virusi vya corona silaha mpya ya kibaiolojia toka Marekani

    Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga. Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu. Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu. Kirusi icho inasemekana...
  19. Coronavirus: Silaha ya kibaiolojia inayotumika kulinda sera ya ujamaa dhidi ya Sera ya kibepari ya maandamano

    Aliyetengeneza hiki kirusi pengine hakujua kitasambaa kiasi hiki Nina uhakika hofu iliyopo Duniani kwa sasa dhidi ya Coronavirus ni kubwa kuliko Silaha za maangamizi ya Nuclear Hakuna mwanadamu popote Duniani ataandamana kwa sasa Hii itakuwa na athari ya muda mfupi juu ya uchumi wa Dunia...
  20. Je, sheria inaruhusu kumuua mtuhumiwa wa ujambazi asiye na silaha anayewakimbia Polisi?

    Yaani tuchukulie mtuhumiwa wa ujambazi amekamatwa na Polisi, halafu wakati anawapeleka mafichoni kwa wenzake akaanza kuwakimbia Polisi huku akiwa hana silaha yoyote na akipiga makelele. Je, kuna uhalali/ulazima wowote wa kumpiga risasi ya mgongoni na kumuua? Je, ndugu zake wanaweza kudai fidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…