Dunia imeharibika sana.
Wanadamu wamezidi kuunda silaha hatari za kila aina ambazo tayari zina uwezo wa kuangamiza dunia hata mara 3 mara 4.
Zipo silaha za milipuko, za magonjwa, za mionzi na hata za hali ya hewa zinazoweza kutuma kimbunga au hata tetemeko.
Kama yupo mtaalamu, atusaidie kujua...