Kundi la Al-qaeda lina mapato 416.5B kwa mwaka. Mwaka 2021 55.5B zatumika kununua silaha

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,731
10,033
Kundi la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia TZS bilioni 55.5 kununua silaha, Taasisi ya Hiraal imeeleza. Ripoti imefafanua kuwa kundi hilo lenya mfungamano na al-Qaeda lina mapato ya TZS bilioni 416.5 kwa mwaka, linayokusanya pia kupitia kodi katika maeneo ya Somalia inayoyakalia.

Swali: Ni nani yupo nyuma ya haya makundi ya kigaidi kiufadhili?
 
Kwahiyo kundi la alqeeda ni tajiri kuliko uchumi wa tz wenye gdp ya $51b? Duh sie kweli ni masikini
 
Kundi la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia TZS bilioni 55.5 kununua silaha, Taasisi ya Hiraal imeeleza. Ripoti imefafanua kuwa kundi hilo lenya mfungamano na al-Qaeda lina mapato ya TZS bilioni 416.5 kwa mwaka, linayokusanya pia kupitia kodi katika maeneo ya Somalia inayoyakalia.

Swali: Ni nani yupo nyuma ya haya makundi ya kigaidi kiufadhili?
Heading inaongelea Al Quaeda, while content inaongelea Al shaabab
 
Kundi la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia TZS bilioni 55.5 kununua silaha, Taasisi ya Hiraal imeeleza. Ripoti imefafanua kuwa kundi hilo lenya mfungamano na al-Qaeda lina mapato ya TZS bilioni 416.5 kwa mwaka, linayokusanya pia kupitia kodi katika maeneo ya Somalia inayoyakalia.

Swali: Ni nani yupo nyuma ya haya makundi ya kigaidi kiufadhili?
Hilo kundi linapata pesa kwa kuuza cocaine na mirungi

Cocaine kwa wingi duniani inalimwa Afghanistan na Somalia inaongoza kwa kulima Mirungi na kuiuza duniani.Ndio maana Alkaeda unakuta wamekalia Afghanistan na Somalia

Ni magenge ya kihalifu mafanyabiashara ya madawa ya kulevya wakiwa wamejificha kwenye kivuli cha uislamu
 
Umechemka mkuu

1. Cocaine hailimwi kabisa Afghanistan

2.Alkaida hawajaikalia Afghanistan

3 Mirungi sio dili kivile kuweza kuchangia kutengeneza pesa ya maana km hiyo.
 
Nenda YouTube search cocaine Afghanistan kuna mashamba ya kufa mtu wasimamizi Serikali ya Taleban ambayo ni proxy wa Osama bin Laden na Alkaeda yake

Mirungi nenda Kenya hapo wana hadi uwanja wa ndege ambao kazi yake kubwa ni kusafirisha mirungi tu kupeleka uwanja wa ndege wa Wilson Intetnational Airport ndio shughuli yake kubwa kama hujui.Uchumi wa Kenya unategemea pia sana mauzo ya mirungi kupata pesa za kigeni

Nchi Ambazo uislamu haupo unatumika tu kutawalia watu kimabavu ni Afghanstan na Somalia

Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini ilipiga marufuku mirungi kuwa ni Haramu Somali a mtu anaingia msikitini Kala mirungi na akitoka msikitini anakula mirungi nje ya msikiti halafu utasikia somalia uislamu mtupu.Pombe haramu ila mirungi Ruksa!!!

Marekani hupigana vita sehemu Tatu kuu ambazo zinakuwa na pesa nyingi ukiwa na Madini mmarekani anakuja kutaka kuteka hiyo Niagara ndio maana kongo haitawaliki pia ukiwa na mafuta mmarekani huyo ndio maana alivamia nchi kibao zikiwemo Iraki,Libya nk kwenye Arab Spring zilipinduliwa nchi kibao

Tatu mmarekani ukiwa mzalishaji mkubwa wa cocaine na mirungi ambayo huingiza pesa nyingi lazima Avamie ndio maana alivamia Afghanistan na Somalia sababu ma drug lord hao waliojificha kwenye mwavuli wa uislamu wa siasa kali walianza kuleta shida sababu ya pesa zao wanazopata kutokana na mauzo ya drugs na mirungi
 
Hilo kundi linapata pesa kwa kuuza cocaine na mirungi

Cocaine kwa wingi duniani inalimwa Afghanistan na Somalia inaongoza kwa kulima Mirungi na kuiuza duniani.Ndio maana Alkaeda unakuta wamekalia Afghanistan na Somalia

Ni magenge ya kihalifu mafanyabiashara ya madawa ya kulevya wakiwa wamejificha kwenye kivuli cha uislamu
True.Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini.yote upigania maslai ya dunia kupitia dini, kupitia dini ni rahisi sana kuwapata wapumbavu watu wenye stress za maisha hawa ni rahisi sana kuwabrain wash kwa kutumia dini Ili uwezo kupata wapiganaji cheap kwa ujira wa wali maharage.
Hakuna dini pale
 
Nenda YouTube search cocaine Afghanistan kuna mashamba ya kufa mtu wasimamizi Serikali ya Taleban ambayo ni proxy wa Osama bin Laden na Alkaeda yake

Mirungi nenda Kenya hapo wana hadi uwanja wa ndege ambao kazi yake kubwa ni kusafirisha mirungi tu kupeleka uwanja wa ndege wa Wilson Intetnational Airport ndio shughuli yake kubwa kama hujui.Uchumi wa Kenya unategemea pia sana mauzo ya mirungi kupata pesa za kigeni

Nchi Ambazo uislamu haupo unatumika tu kutawalia watu kimabavu ni Afghanstan na Somalia

Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini ilipiga marufuku mirungi kuwa ni Haramu Somali a mtu anaingia msikitini Kala mirungi na akitoka msikitini anakula mirungi nje ya msikiti halafu utasikia somalia uislamu mtupu.Pombe haramu ila mirungi Ruksa!!!

Marekani hupigana vita sehemu Tatu kuu ambazo zinakuwa na pesa nyingi ukiwa na Madini mmarekani anakuja kutaka kuteka hiyo Niagara ndio maana kongo haitawaliki pia ukiwa na mafuta mmarekani huyo ndio maana alivamia nchi kibao zikiwemo Iraki,Libya nk kwenye Arab Spring zilipinduliwa nchi kibao

Tatu mmarekani ukiwa mzalishaji mkubwa wa cocaine na mirungi ambayo huingiza pesa nyingi lazima Avamie ndio maana alivamia Afghanistan na Somalia sababu ma drug lord hao waliojificha kwenye mwavuli wa uislamu wa siasa kali walianza kuleta shida sababu ya pesa zao wanazopata kutokana na mauzo ya drugs na mirungi
Mkuu , nafikiri wewe ndio unatakiwa uende huko YouTube kusachi.

..au muulize vizuri aliyekusimulia.
 
Back
Top Bottom