siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumuamini fundi yeyote yule ukamlipa pesa ya kazi? Siku ya kupokea kazi isiendane na pesa ulomlipa?

    Ndo hivo yaani mtu nimempa lakitatu anifanyie kazi, siku ya kuleta kazi haiendani hata kidogo na pesa ni liyompa Na sitaki kuzozana na mtu, dunia tunapita tu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Oktoba 6 ni siku ya Mtindio wa Ubongo duniani

    Kila ifikapo Oktoba 6 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Mtindio wa Ubongo/ cerebral palsy, ambapo kwa Mara ya Kwanza siku hii iliadhimishwa mwaka 2012. Madhumuni ya siku hii ni kuielimisha jamii kuhusu tatizo hili pia kuhamasisha uwepo wa mazingira jumuishi na wezeshi kwa watu walioathiriwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kitambulisho cha Mpiga Kura kinapatikana kwa siku moja lakini kitambulisho cha taifa kinapatikana baada ya miaka miwili?

    Ndugu wana JF hili ni swali nililojiuliza sana kwa muda mrefu. Kwa tathimini kwamba zaidi ya asilimia 60 taarifa za wananchi zanapatikana mtandaoni kwa kuwa siku za saivi asilimia kubwa ya watu wamesoma na kama wamesoma na kuhitimu unamaanisha taarifa zao zote zinapatikana kwenye mfumo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Oktoba 5, Siku ya Walimu Duniani, una ujumbe gani kwa Mwalimu wako leo?

    Siku hii huadhimishwa Oktoba 5 kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Pendekezo la ILO/UNESCO mwaka 1966 kuhusu Hadhi ya Walimu lililoweka viwango kuhusu Haki na Wajibu wa Walimu. Pendekezo hilo huangazia viwango vya maandalizi yao ya awali, Elimu ya ziada, Ajira pamoja na Masharti ya...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

    Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
  7. JamiiForums Tanzania Obama na Michele watimiza miaka 30 kwenye game, hamna hata siku moja Michelle aliomba hela eti gesi imeisha.

    Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya kusuka nk.
  8. JamiiForums Tanzania Mungu alifanya kazi kwa siku 6 kisha ya saba akapumzika. Tuliwezaje kuijua kama ni Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?

    Wakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA, JUMAMOSI au JUMAPILI?
  9. W

    JamiiForums Tanzania KWELI Mende anaweza kuishi kwa siku kadhaa akiwa amekatwa kichwa chake

    Mende ni maarufu kwa ukakamavu wao, na mara nyingi hutajwa kuwa ndio walionusurika zaidi katika vita vya nyuklia. Wengine hata wanadai kwamba wanaweza kuishi bila vichwa vyao. Suala la mende kuendelea kushi hata baada ya kukatwa kichwa lipoje?
  10. JamiiForums Tanzania Watu 604 wapimwa Moyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani

    Watu 604 Wamepata huduma za upimaji na matibabu ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya moyo duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni jijini Dar...
  11. T

    JamiiForums Tanzania 2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

    Habari wakuu. Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  13. JamiiForums Tanzania Jambo kubwa linaloifanya CCM kuwa na nguvu siku zote ni kukubalika na watu wa dini zote. Wapinzani igeni hili

    Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia, hata Mods humu hawaupendi. CCM ni chama pekee cha siasa ambacho hakiwezi kunyooshewa kidole cha udini. CUF ilikuwa na nguvu sana, lakini kila mtu aliona kupitia safu yake ya juu kilivyoegemea dini fulani. CDM kilikuwa na nguvu, na hata leo kina nguvu...
  14. JamiiForums Tanzania Wale watoto wa siku hizi haya mambo mnayasikia tu.

    Zamani tulikuwa tunakula kwa pamoja,hii ilisaidia kuondoa tabia ya uchoyo,ilijenga uhusiano,na ilimwondolea uvivu wa kula mtoto.Lakini wazazi wengi sasa watoto wao wanakula Kila mmoja peke yake,kwakweli wanamic hayo niliyosema.tazama video hapa na picha.
  15. JamiiForums Tanzania Septemba 30, Siku ya Kimataifa ya Tafsiri ya Lugha

    Siku ya Kimataifa ya Tafsiri huadhimishwa Septemba 30 kila mwaka ikiwa na lengo la kuwaenzi Wataalamu wa Lugha, kuyaleta Mataifa Pamoja, Kuwezesha Mazungumzo, Maelewano na Ushirikiano, Kuchangia Maendeleo na Kuimarisha Amani na Usalama Duniani. Mei 24, 2017, Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ubungo DSM, Kibesa S/Msingi wanafunzi darasa la nne waamuliwa kuchangia sh. 1,000/ mfululizo mpaka watakapofanya mtihani wa taifa

    Kibesa S/msingi wilaya ya Ubungo, jijini Dar Es Salaam, wanafunzi wa darasa la nne waamuliwa kufanya mtihani mfululizo kwa gharama ya sh. 1,000 kila mwanafunzi na kwa darasa zima lenye wanafunzi 120 linalazimika kuchanga kiasi cha sh.120,000/ ikitajwa kuwa ni posho ya Mwalimu na gharama ya...
  19. JamiiForums Tanzania Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

    Naulizwa Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi? Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje? Haya mje mumsaidie mwenzenu.
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…