Oktoba 5, Siku ya Walimu Duniani, una ujumbe gani kwa Mwalimu wako leo?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Siku hii huadhimishwa Oktoba 5 kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Pendekezo la ILO/UNESCO mwaka 1966 kuhusu Hadhi ya Walimu lililoweka viwango kuhusu Haki na Wajibu wa Walimu.

Pendekezo hilo huangazia viwango vya maandalizi yao ya awali, Elimu ya ziada, Ajira pamoja na Masharti ya Kufundishia na Kujifunzia huku likitambua jinsi Walimu wanavyobadilisha Elimu na kutafakari kuhusu Mahitaji yao.

Je, una ujumbe gani kwa Mwalimu wako leo?

=========

World teachers' day 2023

© UNESCO

World Teachers' Day​

World Teachers’ Day is held annually on 5 October to celebrate all teachers around the globe. It commemorates the anniversary of the adoption of the 1966 ILO/UNESCO Recommendation concerning the Status of Teachers, which sets benchmarks regarding the rights and responsibilities of teachers, and standards for their initial preparation and further education, recruitment, employment, and teaching and learning conditions. The Recommendation concerning the Status of Higher-Education Teaching Personnel was adopted in 1997 to complement the 1966 Recommendation by covering teaching personnel in higher education. World Teachers’ Day has been celebrated since 1994.

It is a day to celebrate how teachers are transforming education but also to reflect on the support they need to fully deploy their talent and vocation, and to rethink the way ahead for the profession globally.

World Teachers’ Day is co-convened in partnership with the International Labour Organization (ILO), UNICEF and Education International (EI).

Teacher in Cambodia

© UNESCO/Erika Pineros

"We call upon countries to ensure that teaching is transformed everywhere into a more attractive and valorised profession where teachers are valued, trusted, and adequately supported to meet the needs of every learner. Bold actions must be taken, if we are to reverse the current decline and successfully increase teacher numbers."

Joint Message from Ms Audrey Azoulay, Director-General of UNESCO, Mr Gilbert F. Houngbo, Director-General, International Labour Organization, Ms Catherine Russell, Executive Director, UNICEF, Mr David Edwards, General Secretary, Education International for World Teachers’ Day, 5 October 2022
 
Walimu ni sawa na mafundi umeme wanaoingiza umeme majumbani. Taa zinapowaka sote hufurahi kwa furaha.
Namshukuru mwalimu aliyenifundisha AEIOU maana alinifungulia dunia.
leo nasoma maarifa mengi mwenyewe.
I am Ndelutarami H.N
 
Back
Top Bottom