Kwanza ni rahisi sana kuvunjika, kuvumiliana ni zero, kusameheana ni finyu mno.
Migogoro na mafarakano kwenye familia hayaishi.
Visasi na vinyongo kama vyote.
Ndoa nyingi ni kama uwanja mapambano au harakati flani tu. Ni mwendo wa kuviziana na kutegeana, nani miongoni mwa wanandoa alianzishe...