Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Ilikua mkesha wa pasaka. Mwanangu Zombie akanicheki like always, Oyaa location wapi leo? Nikamwambia wewe tu mwanangu master plan. OK sawa man tutazama mbeya pazuri.. (at that time nilikuwa naishi mbeya).
By that time nilikuwa nilisha break up na demu wangu, i just numbed the pain by parting...
Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na kuondoa spika zetu za kutangazia biashara.
Hawakunipa maelezo ya kutosha wala hawakutoa hati yoyote ya...
Anonymous
Thread
dar
faini
jiji
kila siku
kuzitumia
mgambo
siku
spika
tunataka
Hamjambo!
Kuna sisi nilikuwa nataka kuwapa watu fulani hivi. Ila nimezuiwa na wahenga. Nimeambiwa mara nyingi natoa codes fulani ingawaje vichwa panzi wamekuwa wagumu kuzipata frequencies zangu ili kung'amua codes hizo.
Leo sina maneno mengi.
Nitawarejelea wahenga wakisema DUA LA KUKU DAIMA...
mimi kwa wastani nina nyuzi 17 ambazo hua nina andika kisha ninazifuta kabla ya kuzipost.
hata uzi huu nilishawai kijaribu kuandika wiki kadhaa zilizopita, kabla ya leo tena kuufikiria..
leo ni wasaa wa kuandika nyuzi ambazo ulizifikiria na ukaona haina sababu tena ya kuendelea nayo, nami...
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki...
Yani ile ajali ya barabarani ya pikipiki ilinirusha juu baada ya kufunga breki ya pikipiki ghafla ili kukwepa kugonga gari za mbele na ya pembeni baada ya gari ya mbele yangu kufunga breki gafla tukiwa kwenye mwendo.Gari iliyokuwa nyuma yangu ikanipushi pikipiki yangu kushoto
ilipelekea kukosa...
M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na salama Kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni ugidaji wa maji hayo tena bila ya kuyachemsha hiyo...
Katika hali ya kipekee October 29 ni kama jana, hii siku haijafutika katika vichwa vya Watanzania wote na ukisoma Barua ya Common wealth, kuanzia siku 30, 60, 90 yote yanatoa nguvu Kwa maandamano ya 8/8 hadi October 29 kuwa na sura ya shinikizo la kimataifa na kuungwa kwake.
Hizi siku 30...
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha.
Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana.
Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk.
Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi,
Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi
Let say unapata 20,000$ monthly
Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula
Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$
Pili wazazi au walezi. 500$...
WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana.
Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza.
Bila shaka wanaowatumia...
Naangalia hapa... Watu hamna. Kiukweli kumedoda sana. Barabarani naambiwa wamejaa askari na wanajeshi. Na maduka mengi hayajafunguliwa.
Naomba tuendelee kupeana updates hapa. Jana pascal njaa alijaribu naye kukaribisha watu waende sabasaba. Lakini watu wamemgomea naye maana wanajua hana lolote...