Salaam wanabodi.
Tukielekea kuupokea Mwezi wa mapenzi, mwezi ambao mahusiano mengi huvunjika, mengine huanza, mengine hutetereka kutokana na Visa vya hapa na pale.
Sasa nimekutana na concept moja ya Kua katika Unappreciated Relatioship, Yaani unakua na mkaka au mdada, Mzuri, mtanashati, sio...