Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,019
- 1,154
Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji yanayopotea kila. Siku serikali inapata hasara kiasi gani?????