siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais naanza kushughulikia Masuala haya ya Wanawake

    Nikiapishwa tu siku hiyo haraka narudi Ikulu naagiza wamlete Sanchoka aje kwa week moja tujadiline naye changamoto mbalimbali zinazohusu wanawake hasa vijana wa Tanzania. Nataka nipate week moja nzima tunajadili kwa kina na kupeana semina elekezi. Ni mmoja ya wanawake wenye maumbo mazuri sana...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary. Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO Wilaya ya Geita mnawezaje kufikisha siku tatu bila kutengeneza transfoma huku mitini dawa?

    TANESCO GEITA badilikeni, mteja ni mfalme. Mmetukosea sana sisi wakazi wa mitini dawa hapa Makelemo bar na maeneo jirani. Tangu Jumanne, Jumatano hadi leo hakuna umeme. Au ndo mnawahujumu CCM tuwanyime kura? Tumeshindwa kuwasha mashine wala kunyoosha nguo. Vyakula kwenye majokofu vinaharibika...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Polepole ahadi ni deni tupo ndani ya siku saba za mwisho katika kampeni

    Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni. Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya ufahamu wa kigugumizi duniani, jamii yatakiwa kuwa na subra wakati wanaongea

    Neno kigugumizi limetokana na kitenzi kugugumia ambayo ni shida ya baadhi ya watu katika kusema na inakadiriwa asilimia 5-6 inawapata watoto huku asilimia moja ikiwapata watu wazima, wanaume wanapatwa mara nne kuliko wanawake. Kwa kiingereza kigugumizi kinajulikana 'stammer'. Kuna vigugumizi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Mpiga kura ni tofauti na mgombea: Mambo ya kuepuka kwa mpiga kura ili usije ingie matatani siku ya kupiga kura

    1. Jambo la kwanza usifanye fujo kituo cha kupigia kura au kupiga makelele,kuzozana nk ile ni sehemu ya kupanga msitari na kupiga kura yako kwa amani na utulivu 2. Kazi ya kujumlisha matokeo ya uchaguzi na kuyatangaza ni kazi ya tume ya uchaguzi tu tena kwenye vituo husika official vya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Wavuvi tusifanye kosa hiyo siku ya tarehe 28/10/2020

    Takriba miaka minne tumedhurumiwa kiasi cha kutosha haki zetu,wengi wetu tumenyanganywa nyavu zetu, ndoano, na vitendea kazi zetu ktk uvunaji wa samaki wakisema eti na zana haramu au samaki haramu, bila shaka hakuna asiyeguswa na kadhia hii ya serikali ya awamu ya tano. Ukweli ni mengi mno...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo muda huu Utopolo wangekuwa na huzuni

    Ni kama mechi isingeairishwa muda huu utopolo wangekuwa kimya wamechanganyikiwa na kipigo ambacho wangepata hakuna cha calinyo wala mwamnyeto wangekuja kuibuka baada ya wiki mbili na sababu kibao ila tunawasubiri November 7
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

    Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo: Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Muendelezo: Siku niliotwangana makonde na msichana

    Habaran wana jamii forum hope wote mna weekend njema nadhan wengi sn mlisoma ule uzi wangu siku nilipotwangana makonde na demu sasa nimeona itakuwa sio km ntaachia stor kat maana kila mmoja alibaki na maswali sasa tuendelee Niliishia pale demu alipoenda ndan na kunikabith vitu vyangu hii ni...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikiwa zimebaki siku 10 kufikia mchaguzi mkuu

    Tumesikia mengi na tunaendelea kusikia mengi kutoka kwa wagombea wa vyama vyote sasa na mwisho tukafanye maamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi sahihi watakao weza kushirikiana na wananchi kwa maslahi ya sasa ya taifa letu na kwa vizazi vijavyo Tukumbushane kuandaa kadi zetu sasa na kuhimizana...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatangaza Tarehe 19 Oktoba kama siku ya mapumziko, Tarehe 28 imetajwa mapumziko, 29 kuwa siku ya kazi kama kawaida

    SMZ imetangaza Oktoba 18 na 19 kuwa siku za mapumziko ili kusheherekea maulidi Pia imetangaza siku ya Oktoba 28 kuwa siku ya mapumziko ili Wananchi waweze kupiga kura
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, ni wakati mwafaka mgombea Urais Mh. Tundu Lissu kutumia Helicopter kwa siku 10 hizi zilizobaki

    Natoa ushauri kwa CHADEMA Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe. Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia. Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea...
  15. JamiiForums Tanzania Maiti ya kichanga yafikisha siku 40 mochwari kusubiri DNA

    Mgogoro kati ya uongozi wa kituo cha afya Nguvu Kazi kilichopo Nyeburu, Chanika mkoani Dar es Salaam na wazazi umesababisha maiti ya mtoto mchanga kukaa mochwari kwa siku 40. Mgogoro huo ulianza baada ya mama wa mtoto huyo Maisha Ally kujifungua Septemba 7 kituoni hapo na kupewa taarifa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

    Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020. Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...
  17. JamiiForums Tanzania Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

    Je, kuna umuhimu wa wazazi kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo? Unawapelekaga watoto wako? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia matukio mengi sana zaidi ya mara 4 katika misiba niliyopata...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia

    Kwa kuwa sheria za uchgauzi za Sasa hazimruhusu mtu kupigia Kura eneo lolote alipo na badala yake anapaswa kusafiri kwenda sehemu alikojiandikishia, Basi tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku nne kwa wafanyakazi watakaosafiri kwenda kupiga Kura walikojiandikishia. Mtakumbuka kuwa siku za hivi...
  20. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya digitali ilivyo msingi wa uchumi imara siku zijazo

    Habari nyingine nzuri kuhusu uchumi wa Tanzania. Kwa mujibu wa Takwimu za Benki Kuu ya Tanzana (BoT) uchumi unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.5 mwaka huu wa 2020. Habari hii inafuatia habari nyingine iliyotangazwa Julai ambapo Benki ya Dunia (WB) ilisema kuwa Tanzania imefanikiwa kuingia katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…