siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kevin-Prince Boateng:′′ Nilinunua magari matatu kwa siku moja nikiwa Tottenham: Lamborghini, Hummer, na Cadillac lakini sikuwahi kua na Furaha

    Lamborghini, Hummer, na Cadillac. Lakini kwa kipindi chote nilichokaa Tottenham nlishindwa kununua FURAHA. Furaha pekee ndo ilinifanya niondoke Tottenham na kwenda kuitafuta sehemu nyengine. Swali kwako how far can you go for find of happiness and what cost u can pay for your happiness?
  2. JamiiForums Tanzania Msitegeeme sana hizi faini kila siku ipo siku mtazirudisha CAS FIFA

    Kumeanza mtindo wa kila mechi simba na yanga wanapigwa faini Hii ni aibu kwa soka letu haiwezekani kila siku faini. Watu wanajiuliza kumbe hizi mechi ni dili sana mwisho hamtutuona uwanjani. Yaani mnafanya sasa hizi timu zikikutana zinaweka hela kadhaa kwa ajili ya faini na Mwisho haya matendo...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Itengwe siku maalum ya chanjo kitaifa

    Katika kuhakikisha kila mwananchi anachanjwa inapaswa kutengwa siku maalum ya chanjo nchi nzima Kama ilivyo siku ya uchaguzi Mkuu
  4. JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka. Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
  5. JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya 3 mfululizo nyakati hizi za Usiku hadi Alfajiri nasikia Ving'ora tu katika Hospitali Kuu ya 'Kimedani' Mkoani Dar es Salaam Kulikoni?

    Na ndiyo Hospitali hiyo hiyo za chini ya Kapeti nimezinyaka kuwa Bi Mkubwa Kikatiba Kesho anaenda Kuzindua Jengo lililojengwa na Wajerumani na ikiwezekana hata Sindano yake ya UVIKO 19 anaweza 'akachomewa' hapo hapo japo Askofu Gwajima Yeye kaigomea. Mungu atusaidie sana na hii UVIKO 19.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

    Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii 1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi 7. Leo Askofu anatangaza dua...
  7. JamiiForums Tanzania Siku saba za uchunguzi wa moto sokoni Kariakoo zinaanza kuhesabiwa lini?

  8. JamiiForums Tanzania Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  9. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

    Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Siku CCM watalia na kusaga meno

    Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao. Ni suala la muda tu, CCM your days are numbered. Take it from me nawaambia! Kila kitu kitawakataa. Sijawahi kusema neno na...
  11. JamiiForums Tanzania Njombe: Wanafunzi watoro walipishwa Tsh. 5,000 kwa kila siku wasiyofika shuleni

    Wakazi wa kata ya Mavanga iliyopo wiliya ya Ludewa mkoani Njombe wamewalalamikia walimu wakuu pamoja na Afisa elimu wa kata hiyo kwa kuwalazimisha kulipia fedha kwa mtoto atakayeshindwa kufika shuleni pamoja na kuwalipa walimu wa kujitolea. Wakitoa malalamiko hayo mbele ya mbunge wa jimbo la...
  12. JamiiForums Tanzania Ombwe la elimu ya ujinsia na mimba za wanafunzi 980 katika siku 180 wilayani Kidondo: Sera ya Elimu Tanzania inakidhi mahitaji?

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Pale anaposikia chadema wakidai kuwa lazima wafanye kongamano la katiba atake asitake😁😁😁
  14. JamiiForums Tanzania Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

    Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi. Ni mavazi rasmi ya Chadema? Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema? Yanaashiria nini? Wenye clips au picha naomba muweke.
  15. JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo mpya za siku hizi mnazionaje?

  16. JamiiForums Tanzania Polisi DSM: Disco Toto Marufuku siku ya Eid

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amepiga marufuku Disko toto katika kumbi zote za starehe jijini humo, siku ya sikukuu ya Eid Al Adha itakayoadhimishwa keshokutwa Jumatano. Amesema, wamejipanga vyema kuimarisha usalama siku hiyo. Amewataka wazazi kuwa makini na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara na siku kuu ya iddi

    Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi TBS hawaoni hizi charger fake za simu zinazolipuka kila siku?

    Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable. TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa mafuta, ikawa miamala na sasa baada ya siku 5 itakuwa kilio cha nyongeza kiduchu ya mishahara

    Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha mwezi kwa ajili ya kutumia kwa miezi 12 ijayo. Waziri Mwigulu kwa niaba ya Rais amesema Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA badilikeni kila siku tunawachangia pesa kwa mtindo huu

    Wanaukumbi. Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini. Polis wanawakamata; mnarudi kwenye mitandao kuomba michango mtoe waliokamatwa daah hii ni biashara au deal la Mbowe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…