siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

    Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo. Simba isipofuzu Kateni rufaa.
  2. JamiiForums Tanzania Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! ! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD) Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  4. JamiiForums Tanzania Ujauzito wa Rihanna; Kila siku yupo barabarani

    Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana. Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti. Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔 Kwa kweli nimechoka kila siku kumuona yeye tu na ajifungue apumzike na sisi pia tupumzike. Kila siku...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, Kilimo hakihitaji maafisa wa serikali walio committed, kinahitaji ushiriki wa wanasiasa na matajiri

    Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari kwenda Kwa Mhe. Mkubwa wa nchini kulitolea ufafanuzi, tunafahamu nguvu watakayotumia akina Zitto...
  6. JamiiForums Tanzania DC wa Serengeti atoa siku 7 kwa wanasiasa waliowadanganya wafanyabiashara

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Vicent Mashinji ametoa siku 7 kwa viongozi wa siasa waliowaambia wafanyabiashara warejee katika maeneo yao ya awali ya biashara na kuondoka katika maeneo yaliyotengwa, kwenda kukanusha kauli zao vinginevyo atawachukulia hatua kali za kisheria. “Niwaagize wote...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani kutoa pipa milioni 1 za mafuta kwa siku

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta ambayo imekuwa ghali kwa waendesha magari wa nchi hiyo. Biden amesema mapipa milioni 180 kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  9. JamiiForums Tanzania Siku nikiwa na mwanamke mwingine ndio utajua tabia yangu, mke hakuongeza neno!

    Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana. Jamaa alipofika kwake...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku Baba Moi aliomba lift gari ya mchanga

    Baada ya msafara wake kukwama kwenye tope baba Moi na mawaziri wake walipanda tipper kuendelea na safari.
  11. JamiiForums Tanzania Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

    Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi? Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini na ushee huko mkoani Lindi vijijini Alie sifika Kwa kuwa Na uwezo mkubwa WA kushindana Na wachawi...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa Chadema wanakifanya chama chao kuwa irrelevant kila siku

    Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho. Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha amekuta ungozi wa juu wa Chama umetekwa na wanaharakati wasiokuwa na ajenda. Ajenda za Chama...
  13. JamiiForums Tanzania Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

    Tangu utoto mpaka sasa ni mtu mzima kutwa mara tatu Hii ilianzia wapi, Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni kututia umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
  15. JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje siku ile mkeo alipokuambia ana ujauzito wako?

    Nakumbuka siku hiyo sikukaa nyumbani, ilibidi nitoke mimi mwenyewe nikaenda mafichoni nakujitafakari, kweli mimi nitaitwa baba? Na majukumu yangu yatakuwa wapi? Nikakumbuka msemo wa wahenga, unaosema, 'mwanamke akikuzalia ina maana amekupenda' vinginevyo anaweza akatoa ujauzito wako au...
  16. JamiiForums Tanzania Machi 22: Maadhimisho ya Siku ya Maji Duniani

    The importance of water World Water Day, held on 22 March every year since 1993, focuses on the importance of freshwater. World Water Day celebrates water and raises awareness of the 2.2 billion people living without access to safe water. It is about taking action to tackle the global water...
  17. JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  18. JamiiForums Tanzania Mayele Siku zingine uache Sifa unaona sasa Ulivyoumbuka Jana?

    Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

    Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu. Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
  20. JamiiForums Tanzania Tunapoenzi siku ya kifo cha Magufuli tukumbuke Hotuba zake mbalimbali

    Mimi naikumbuka sana hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…