Huu upepo umeanzia Marekani, Nlisoma mtandaoni kua mamilioni ya vijana wengi wa kiume Kule united states hawaendi tena chuo, kijana akimaliza high school, anaingia kitaa Anajiajiri kwa kupiga mishe zake Binafsi, vijana wa USA wanaona kugraduate chuo unadaiwa $60,000 na kazi hazilipi ni ujinga...