sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

    Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita...
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote. 2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote. 3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote 4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote 5. Sijawahi kwenda...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

    Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu. Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
  4. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa 1. NSSF 2. NHIF 3. PSSSF 4. TCRA 5. WCF 6. MSD 7. TPDC 8. TIC 9. NGORONGORO CONSERVATION...
  6. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

    Habari ya asubuhi, Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya 1. Wanaofanya Jogging Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia. Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa sijawahi kumuona akipigiwa simu sasa sijui simu ya nini kuwa nayo

    Sijawahi kumuona mchizi akipigiwa simu miaka yote asa sijui simu ya nini wakati watu hawakupigii
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

    Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza. Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida. Sasa nilitaka kujua huko nje...
  11. Hero

    JamiiForums Tanzania Hivi kauli ya "mama anaupiga mwingi" ni njia ya kumtaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Maana sijawahi kuielewa kabisa🤔!

    Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi! Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

    👇
  13. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  14. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini sijawahi kuona ama kusikia mikutano ya dini Masaki, Ostebay ama Posta?

    Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi? Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
  15. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa sijawahi kumwelewa katika uchambuzi wake!

    Sijui anaitakia nini tasnia ya michezo, akisemwa anablock watu!
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwadhalilisha Wanawake; isipokuwa wapumbavu hujishtukia

    Habari Wakuu! Kuna baadhi ya watu wameingiwa na uchungu Kwa baadhi ya maandiko ninayoandika kuhusu Wanawake wetu. Wapo wamenipigia siku kuomba ufafanuzi, wapo wameni-dm na Wale wenye uvumilivu mdogo waliishia kutukana tukana Kama wenyewe walivyo Kama matusi Yao. Taikon hajawahi kumchukia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mchawi mrefu

    Nawaonaga tu watu wafupi sijawahi kuona mchawi mrefu.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji mmepiga gwaride zuri, sijawahi kuwaza hawa jamaa ni Askari

    Hii nchi ina siri kubwa kwenye mfumo wa Ulinzi, Watendaji wa Uhamiaji ukikutana nao huwezi sema ni jeshi, Naamini Mwalimu wakati anatengeneza mfumo wa nchi aliona mbali Sana. Jinsi miaka inavyozidi kwenda ndipo Watanzania wanatambua kauli ya kwamba wananchi wote ni Askari. Kama Hawa hjamaa ni...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwaelewa TMA

    Mapema mwezi wa kumi kama sio mwezi wa kumi na moja mwaka huu,hawa TMA walitutangazia kuwa kutakuwa na uhaba wa mvua kuanzia mwezi wa 11 hadi wa nne mwaka ujao,leo tena wamebadili gia angani,wamekuja na utabiri wa uwepo wa mvua nyingi. Mbona wenzao huko marekani na ulaya tabiri zao huwa zinakuwa...
  20. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

    Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake. Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo...
Back
Top Bottom