siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Siasa chokonozi za kutengeneza ajira pamoja na haki za wanyamapori

    Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na...
  2. JamiiForums Tanzania Sitaki niwe mnafiki; siasa za Vyama vya Upinzani zinatakiwa kubadilika kimtizamo kulingana na nyakati

    Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo. Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala...
  3. JamiiForums Tanzania Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

    Siku hizi dunia ni digital. Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana. Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kakangu ameamua mwanae abadili kozi sababu ya Bodi ya Mikopo kuendeshwa kwa siasa!

    Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku zote amekuwa akilalamikia sana vipngozi wa Bodi ya Mikopo na hapa viongozi wetu hawa. Amekosa upendo...
  5. JamiiForums Tanzania Siasa za STORY: Story za Hali ya Hewa?

    Mungu ONGEZA ukali wa JUA (SUN) maana kihakika SIWEZI fikiri pekeyangu... Hee Mungu baba saidia hao watu wafikirie zaidi hali ya hewa kuliko wanavyomfikia mtu.. Usisahau hata mvua iwe nyingi SAFARI hii maana kweli UNASTAHILI Tufanye tufikiri kwa kitu kidogo ulichokiweka hapa duniani.. 1. MAANA...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa ya ujenzi wa madarasa: Fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya na ujenzi unaohitaji kukamilishwa

    Nimejaribu kupita katika maeneo kadhaa vijijini na nilichokibaini ni kuwa kuna majengo mengi mno ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambayo hayajakamilika kutokana na na uhaba wa fedha lakini hivi karibuni Serikali imepata fedha ambazo zimeelekezwa katika ujenzi wa madarasa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kuanzisha chama cha siasa Tanzania?

    Salamu wakuu, Naomba kufahamu taratibu za kuanzisha chama cha siasa. Ahsanteni..
  8. N

    JamiiForums Tanzania Suala la Utawala Bora Serikalini, Rais Samia na Hayati Magufuli lao moja tu wanaangalia siasa zaidi kulipo productivity

    JPM aliondoka akiwa amevuruga kabisa mambo ya good governance Serikalini na hasa kwenye Taasisi zake. Enzi za Mkapa mpaka JK, nafasi za nyeti Serikalini angalau watu walishindanishwa. Sheria nyingi za Taassis zinaonesha utaratibu wa kupatikana kwa viongozi wa Taasisi na nafasi za juuu. Mfano...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  10. JamiiForums Tanzania Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

    Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema. Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm. Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

    Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo. Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini. Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
  12. JamiiForums Tanzania Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

    Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, achana na Siasa za kuongelea watu, na majungu jikite nini utaifanyia nchi hii ya Tanzania

    Godbless Lema ni mmoja ya wanasiasa mahiri, na uwa nampenda kwa misimamo yake, na hasa kipindi cha mwanzo alivyoingia Bungeni. Ila shida moja ambayo naona inazidi kukua na kutamalaki. Lema amekuwa muda mwingi anaongelea watu binafsi, si vibaya mara moja kujadili utendaji wa mtu katika majukumu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

    Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu Je, tumebadilika? Jumaa kareem!
  16. JamiiForums Tanzania Siasa ni nini?

    Kwanini wewe unachangia jukwaa la siasa? Siasa kwako ina maana gani, hasaa; na upo tayari kusimamia msimamo wako muda wowote na kwa gharama yoyote. Siasa kwako ni utu? Siasa kwako ni sheria na mipaka ya kutaka kuongozwa (katiba). Siasa kwako ni sera zenye kuinua jamii? Siasa kwako ni njia...
  17. JamiiForums Tanzania Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini waahirishwa

    Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa wadau wengi zaidi kushiriki kikamilifu. Mkutano huo uliolenga kujadili maudhui ya utekelezaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wakinga wachache tupo kwenye mambo ya Siasa, Siasa ni kazi ya ziada kwa wakinga

    Mimi Gussie nimezaliwa kaskazini na watu wananijua ni wa huko, Mimi ni Mkinga kamili wa Ikonda. Nimekaa sana Nchini Rwanda pia Anayesemwa sana na watu Mzee Mwakipande aliyekuwa anatoa utajiri alikuwa mjomba wangu na alikwishafariki zamani, Hivi sasa anayefanya kazi za uganga ni mtoto wa mjomba...
  19. JamiiForums Tanzania Watu weusi, tunafanana sana Kitabia kuliko tabaka lingine zote duniani

    Mara 3 nilipata nafasi ya kuhudhuria mikutano ya kisiasa South.. kwa kiasi kidogo kuna kitu nilikigundua kuhusu Siasa za Africa kusini na Africa kwa ujumla. Mara zote hizo nilihudhuria mikutano ya Chama cha Malema tu. Upande wa ANC sikuwai hudhulia mikutano yao labda kutazama katika runinga...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

    Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…