siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

    === Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora, Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Siasa za Chanjo za Uviko (Politics of Covax)

    Kwakuwa chanjo ni vijidudu vilivyofubazwa nguvu vinapandikizwa mwilini ili viishi na wewe milele, sasa je, nisipochanja Corona alafu mtu aliyechanja akaniongezea damu wakati nilipohitaji damu je, vijidudu vile (chanjo yake) haviwezi kuhamia kwangu kwenye damu yake ile aliyoniongezea na kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anarudisha mikutano ya hadhara ya vyama siasa

    Ni kilio cha muda mrefu cha wanasiasa wa Tanzania hususan vyama vya upinzani. Wanataka kurudishwa kwa mikutani ya hadhara ambayo ni haki yao ya Kikatiba, lakini iliminywa wakati wa utawala wa awamu ya tano chini ya Hayati Rais John Pombe Magufuli. Leo kwenye mkutano wa wadau wa siasa nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

    Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo. Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria mama anashusha nondo
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Mkutano wa leo Sio mkutano wa Rais na Vyama vya Siasa ni mkutano wa Wadau wa Siasa, Rais anakuja kuufungua tu.

    Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais. ====================== “Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Chadema, ya sasa ni chama cha siasa au kikundi cha Wanaharakati wa mchongo

    Wanaukumbi. CHADEMA hakina Sera ya chama madhubuti, kila mtu ni msemaji. Vijana wa CHADEMA kumtukana kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama chao, bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo. CHADEMA wameshindwa kuendesha chama kama taasisi ya umma, kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namwombea Mshahara zaidi 'Spin Doctor' wa Siasa za Tanzania na Matukio yote Muhimu ya Kihisia

    Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu. Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wapi kwenye Biblia inataja asili ya mtu mweusi?

    Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said ana siasa za kulialia

    Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake kadhaa, sikufikiri kwamba kwa ukubwa wa changamoto tulizonazo leo pamoja na mabadiliko makubwa ya kielimu...
  11. JamiiForums Tanzania Katika maisha yako ya Siasa; Epuka mambo haya

    KATIKA MAISHA YAKO YA SIASA EPUKA MAMBO HAYA; Kwa Mkono wa Robert Heriel. Endapo utapenda uongozi na utawala, mpaka ikakubidi kujiingiza kwenye mapito ya kisiasa, basi nakusihi Epuka mambo haya ili uwe na Amani hata siku ujapoondoka duniani. 1. Epuka kumwaga Damu isiyo na hatia. Fanya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

    Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
  13. JamiiForums Tanzania Siamini katika Siasa za unafiki, Polepole unakosea sana we pamoja na kikundi nyuma yako! Tunajua yote haya

    Wanajamvi mnanielewa vema kwenye masuala ya msingi siyumbagi na kuangalia Kama ama Nina rafiki ataonaje msimamo wangu! Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa

    Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo: 1...
  15. JamiiForums Tanzania Madarasa kujengwa ndani ya mwezi mmoja inawezekana au ndo siasa?

    Wadau habari za majukumu Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo. Madarasa hayo yameamuriwa...
  16. JamiiForums Tanzania Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  18. JamiiForums Tanzania Wakongwe wa siasa naomba mtusaidie kuwatambua wanasiasa hawa

    Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo. Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu ya mbele ya wasikilizaji ambao bila shaka ni viongozi wastaafu wako baadhi nimeshindwa kuwatambua...
  19. JamiiForums Tanzania Chongolo: Kazi ya siasa sio uongo bali ni kuombeana mema

    =AZUUWd1OU7Rl6vvdDQtiwHMSxmWBB8ij45C04oMwTuY3Udqu5PlqIE0kP2mmadVRrgnAYhcXxUHlxET6Hh9KgDEXWLPj4mHzw-2HDXNV4KApOz4YZCdwpuxXNul2E7DX6Xa6OeOddumzlq5XMxB-Jun9&tn=*NK-R']#NUKUU YA WIKI: Kutoka kwa Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi. "Kazi ya siasa sio uongo, majungu, fitina...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Sudan lasema litaachana Siasa baada ya Uchaguzi kufanyika mwaka 2023

    Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litaacha kujishughulisha na Siasa baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 2023 Kamati za Upinzani na Vyama vya Siasa vimekuwa vinatoa wito kwa Jeshi kuacha madaraka, na wamekataa maelewano yoyote yakiwemo makubaliano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…