siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu kwa machawa wa siasa

    Kuna viongozi wengi walikuwa wanategemea mgawanyiko na ugomvi wa Magufuli na upinzani. Hawa ni machawa wa usalama, Polisi na wanasiasa wanaotafuta nafasi. Hawa ni wale watu ambao kiundani hawajali Tanzania bali matumbo yao zaidi. Sasa Rais Samia anaongea na upinzani moja kwa moja bila...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

    Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania. Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu. Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni Mwanasiasa yupi kati ya hawa Wawili Wewe utampenda, utamheshimu na hata Kumuombea Mema katika Siasa?

    Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Siasa za Kenya: Rais Uhuru Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Raila Odinga uchaguzi mkuu, August - 2022

    Ni ajabu na kweli... Na kwa wafuatiliaji wa siasa zà Kenya, hivi Kenyatta na Odinga wanatokea chama kimoja cha siasa au ni wanachama wa vyama tofauti...? Anyway, vyovyote iwavyo. Ila iko hivi; Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya habari ya leo saa 2 usiku huu ya ITV - Tanzania, Uhuru Kenyatta...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua vyema kuicheza Diplomasia ya Uchumi na kuziingia Siasa za Kimataifa

    Rais Samia Suluhu Hassan anajua sana kuzicheza Siasa za Kimataifa na kuiendea Diplomasia ya Uchumi na ndio maana kwa muda mfupi wa Urais wake ameweza kuzishawishi Jumuiya nyingi za Kimataifa na Mataifa mbalimbali kuiamini Tanzania na kuleta Uwekezaji na mitaji mikubwa kwenye Nchi yetu. Tanzania...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa zisikuumize kichwa, says a Kenyan guy

  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali mkiweka siasa Ngorongoro hamtapata suluhisho

    Nawashauri Serikali wakiweka Siasa kwenye swala hili la Ngorongoro hii mbuga baada ya miaka itakuwa tatizo. Kuwahamisha wamassai kule ni lazima kama wana nia njema. Waziri mkuu ameweka siasa zaidi. Tunaongelea watu pekee wakati tatizo kubwa ni mifugo karibu 1M. Waandishi wa habari wametenda haki...
  11. JamiiForums Tanzania Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?

    Kwema Wakuu! Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa. Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii naam kuikomboa nchi hii pale walipoishia wakombozi wengine. Nitafanya Siasa za kubadilisha fikra za...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

    Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge. Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli. Ipyana RIP naye hakufika mbali. Mwele tena mshumaa umezimika Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000...
  13. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko. Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa siasa za kimataifa naomba mnijibu maswali yangu haya kuhusu taifa la USA

    Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin? Kwanini Marekani kashikia bango mgogoro huu? Kwanini Urusi anashauri NATO isiiunge Ukraine? Lakini kwa Nini Marekani...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mambo haya ya siasa bhana, acha ikae hivyo hivyo!

    Eti Polepole anapinga uchifu awamu hii ya sita wakati awamu ya tano hakupinga - Acha ikae hivyo hivyo! Eti alipata kura za Uspika 100% wakati za chinichini zinaonesha kuna waliomkataa - Acha ikae hivyo hivyo! Ndugai alizira uapisho wa mwenzake ikionesha ni dalili za uasi wa Serikali yake -...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

    Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
  17. JamiiForums Tanzania Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwenye mambo nyeti. Tuwe na wanasheria wa Taifa na siyo wanasheria wa Serikali

    Kwa ubush lawyer wangu ukifuatilia matukio ya Sabaya mahakamani na matukio ya Mbowe mahakamani unaona kabisa wanasheria wa Serikali wanahama kwenye taaluma ili kumfurahisha mwanasiasa mwenye vifaru. Wakati huyo huyo mwanasiasa ndiye aliyeagiza. Kumfanya mwanasheria wa Taifa kutampa Uhuru wa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

    Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo. 1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Demokrasia katika Vyama vya Siasa?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Ndugai Uspika, tulitegemea mchakato wa kuchagua spika ungefanyika kwa uwazi na kuwepo kwa Demokrasi ya kweli, hasa hasa ktk kipindi hichi ambacho kuna kilio kikubwa kuhusu mapungufu ya Katiba yetu na usimamizi wa utendaji wa Serikali na teuzi zake. Kupendekezwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…