siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    JamiiForums Tanzania Siasa na Maisha

    Je ni kweli siasa za Tanzania zimepoteza mvuto na ushawishi kiasi kwamba wananchi wameona siasa hazina maana na badala yake wameona wawe mashabiki wa mpira? Itakuwa ni kichekesho kwa raia wa Tanzania kutozingatia siasa ambazo ndizo zinazoamua maisha yao na kuona mpira una maana sana kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania CCM acheni siasa kwenye suala la Sensa 2022

    CCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya kufanya hili zoezi. Na hii ni baada ya Mimi mwenyewe ambaye Sina chama chochote nikamfata Mtendaji...
  3. JamiiForums Tanzania TTCL shirika linalohujumiwa kiutendaji na siasa

    Kati ya mashirika yaliyotakiwa kua makubwa ni TTCL lakini unaweza kwenda pale kutaka huduma ukapatiwa huduma baada ya wiki 3 ama mwezi 1. Shirika limekua likihujumiwa kisiaasa watendaji wanaowekwa pale wako Political Oriented zaidi kuliko Business Oriented. Tukumbuke ndio shirika lenye mtandao...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa zetu huwa kwenye kiwango chake, mdahalo mkali ujao baina ya wagombea Urais

    Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye. Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu...
  6. JamiiForums Tanzania 'PROPAGANDA' ni kitabu kizuri kwa wale wafuatiliji wa Masuala ya Siasa

    Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda. Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani. Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

    Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar. Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo. Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara. Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam. Amesema: “Ni wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

    Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha. Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu. 👇Huu ni ulaghai usiofaa.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  11. JamiiForums Tanzania Jamhuri ni kitu gani?

    Eti wakuu. Tunaposema jumuhuri ya Muungano wa Tanzania tunamaanisha nini? Jamhuri inamaanisha nini? Ina sifa gani? Mbali na jamhuri, kuna vitu gani vingine? Natanguliza shukrani.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli bara la Afrika lina rasilimali nyingi?

    Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile. Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela wanatamba. Kwenye gas ni haohao. Madini ya chuma naona china, Iran, Chile, USA wanatamba. Kwenye rare...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa za Uingereza: Kwanini Mawaziri Wakuu hawadumu madarakani?

    Kwa wale wenye ufahamu wa SIASA za uingereza tunaomba mtufahamishe. Ni kwanini mawaziri wakuu wa hii nchi hawadumu madarakani. Utaona muda mfupu wanajiuzulu. Tatizo ni nini? Mfano wa hivi karibuni ni John Major, Tony Blair, Gordon Brown, David Cameroon, Tereza May na Boris Johnson. Wote Hawa...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

    Wanaukumbi. Inna lillahi waina ilayhi rajiuun Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania)...
  15. JamiiForums Tanzania Ni upi mchango wa wanazuoni wetu katika siasa za Tanzania? Je, wanashauri, wanaponda, wanasifia?

    Salaam Ndugu zangu, Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu. Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha hasa linapokuja suala la mchango wao katika jamii kwa upande wa siasa. Wengi wetu wametekwa na mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa!

    Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na ukweli au uhalisia wa hoja zangu. Uhalisia ni kwamba Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

    Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema majibu ya Baraza la Wawakilishi yalimfanya aingie kwenye Siasa. Anayajua majibu ya mawaziri wake Bunge la JMT!

    Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo. Najiuliza anayajua majibu...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

  20. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

    Acheni kuwa mnaongea pumba bana 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…