siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa siasa wa Tanzania wanakula wapi bata? Je, ni suala la muda kabla hawajaibuka kina Epstein na Diddy wa Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao. Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa raia wengi wa Tanzania wanakitaka katika siasa?

    Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi wanaume wahafidhina populists na nationalists.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ronald Lamola: Siasa za Ulimwengu zinaathiri nchi za SADC

    Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na...
  5. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania ATHARI YA SIASA kwenye Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka

    Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka 🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili. Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
  6. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania SIASA NA SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.

    SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA. 🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji "Income starts wealth. Investing completes it." Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila mbegu. Lakini ukiila mbegu yote, hutakuwa na mavuno ya baadaye. Uwekezaji ndio unaofanya ile mbegu...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje Trump na Elon Musk matapeli wakubwa zaidi kuwahi kutokea katika siasa za Marekani kuaminiwa na raia wengi?!

    Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini! Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima akitambulisha uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba Kardinali Pengo. Umegundua nini?

    Wakuu, Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siasa ni maendeleo si uhasama: Tulinde amani na mshikamano wa taifa kwa maendeleo endelevu

    Katika kipindi hiki tumeshuhudia mijadala ya kisiasa ikizidi kuwa mikali na yenye hisia kali. Hali hii inatukumbusha umuhimu wa kurejea kwenye misingi imara ya taifa letu: amani, umoja na mshikamano. Kwa maslahi ya Taifa, ni vyema wanasiasa, wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wote wa...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nani ni shujaa wako au msaliti kwenye siasa za Tanzania?

    Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti. Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda angekuepo hayati Chacha Zakayo Wangwe Chadema kingekua chama cha siasa cha kizalendo kuliko hivi kilivyo sasa kimesheheni vibaraka na mamaluki.

    Ni wazi sura na taswira ya Chadema kwa sasa inajionyesha wazi kwamba ni kichaka cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi, wanaokusudia kuvuruga umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania kwa maslahi ya hao mabwenyenye ya magaharibi wanaowafadhili chadema na kuwafadhili...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?

    Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri? Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya mambo yalianza kama utani baada ya kuanza kuchezea chadema na ACT kwa kutumia ofisi ya msajiri sahivi...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa kosa kubwa Mwl. Nyerere kuzingatia siasa za kikanda Tanganyika bila kuzifungamanisha na uchumi na bado nchi ikiwa changa

    Katika mambo ambayo yameigharimu sana Tanganyika na kuidumaza huenda hata sio siasa ya ujamaa zaidi bali siasa za kikanda(geopolitics) za Nyerere ambazo hazikuzingatia maslahi ya uchumi wa Tanganyika wakati huo na ya muda mrefu. Ukitafakari kwa kina katika fikra huru ni jinsi gani...
  15. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  16. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vyama vya Siasa lakutana Morogoro, CHADEMA hawakuhudhuria

    Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa haijashiriki mkutano huo. Akizungumzia mkutano huo leo Februari 11, Msajili Msaidizi wa Vyama vya...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kuchanganya dini na siasa

    Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031! Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan. CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
  18. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Obama then and now, kweli siasa ni utapeli!

    leo hii wanaitisha maandamano nchi nzima kupinga wahamiaji haramu kuondolewa ... https://x.com/i/status/2018474418859806896
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jee TISS inatakiwa irekebishwe ili kuendana na siasa za sasa?

    Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli. Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo vyote vya dola viliwekwa chini ya hatamu za CCM. Kwa ivo ilikuwa huwezi kuajiriwa kwenye vyombo vya...
  20. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania

    Kwa hii overview fupi ya Tanzania unaonaje future yetu ya miska 15 mbele? Tanzania Yalenga Kusaini Mradi wa Gesi (LNG) wa Dola Bilioni 42 Kabla ya Juni Baada ya miaka kadhaa ya kukwama, Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini mkataba wa mradi mkubwa wa kusindika gesi asilia (LNG) wenye thamani...
Back
Top Bottom