siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ngara Yatembelea Bunge la Tanzania

    MHE. NDAISABA RUHORO ATEMBELEWA BUNGENI NA KAMATI YA SIASA WILAYA YA NGARA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro wiki hii aliialika Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ngara chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwl. Vitalis Ndailagije na Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Julius Kahabi...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna CHADEMA kama chama cha siasa au ni chawa wa chama kilichopo madarakani?

    Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka 😄. Binafsi, napatwa na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vyama visivyo na wajibu kwa jamii ni vya nini?

    Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao. Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa kula kujua au kutafuta wapi pana malalamiko na kuyafanyia kazi vilivyo. Kudai katiba mpya ni...
  4. JamiiForums Tanzania Matukio yanayotokea kwa sasa nchini yanahusiana vipi na siasa?

    Kumekuwa na mtirirko wa matukio yasiyofaa kwenye jamii zetu kila kukicha. Kuna suala la mapenzi ya jinsia moja, watu kuuawa kila kukicha, watoto kuharibia kila siku. Nimekuwa nikijiuliza sana, Je haya mambo yanachagizwa na mfumo wa kisiasa? Maana ukiingia huko mjini twitter kila kona watu...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Sheria kuweka bayana uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi. Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa kwenye elimu. Kila goli tsh 5000000, basi ili watoto wajue kusoma Kila mwl posho 200,000.

    Ndg wanajamii Kuna mambo yanaendelea lakin ukweli ni maslahi pekee. Sasa pamoja na challenge zote Bado Kuna matatizo ya kimfumo. Mwl na koi saw key performance indicator zitapatikana vyuoni au maekelezo??
  7. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
  8. JamiiForums Tanzania Je, CCM Inapaswa Kulaumiwa kwa Vijana Kupoteza ari ya Siasa nchini? Tafakari Kuhusu Elimu ya Siasa Tanzania

    Uko msamiati miongoni mwa wanazuoni wa Kikoloni kuelezea mtu ambaye kwa juhudi na maarifa yake pekee, bila usaidizi wa mtu ama mifumo au jamii fulani ya watu, huweza kufanikisha ama kufanikiwa kuinua maisha yake kwa viwango vya kushangaza. Hili laweza kuwa katika biashara, siasa na kadhalika, na...
  9. JamiiForums Tanzania Millennial na GenZ na Siasa za Nchi yetu

    Ikiwa tutaamua kufanya utafiti leo katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok na mingine, utagundua kwamba Siasa za Nchi miongoni mwa vijana zimezimia kama siyo kufa. Content inayopandishwa mtandaoni kuhusu siasa miongoni mwa vijana hasa kwa vizazi viwili vinavyokaribiana yaani...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Hata wewe Spika ukileta siasa zako tunaweza kukuazimia

    Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
  11. JamiiForums Tanzania Kamati za Siasa za CCM Mkoa na wilaya nchi nzima, kama njia ya kupinga ubadhirifu, washughulikie taasisi na watumishi waliotajwa na CAG

    CCM ndio wenye serikali, ilani ya CCM haikubaliani na matendo ya ubadhirifu. Ni wakati Sasa chama kijibainishe kwamba hao wabadhirifu wanawajibika binafsi, na chama hakikuwatuma, tena karibu wote, si wanachama wa CCM kwa mujibu wa ajira zao. Kuanzia ngazi ya wilaya, hawa wabadhirifu tuwaandame...
  12. JamiiForums Tanzania Madudu ya Vyama vya Siasa kwenye Ripoti ya CAG

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi. Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Wananchi (CUF) na Democratic Party (DP) na CCM. Hayo yamo kwenye...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Be smart all the time, Siasa za Nchi hii ni ujinga

    Wadau habari za easter, Leo naandika kiufupi kabisa kuna siku nitaleta mzigo mzima humu. Naomba niongee na vijana umri wa miaka 18-30, kundi hili halijachelewa kuamua ni wakati mzuri wa kuwa na tahadhari na lazima mjue siasa za Nchi hii ni gamble mfano wewe kijana uliyehitimu procurement pale...
  14. JamiiForums Tanzania Short course ya Siasa miezi mitatu.

    SHORT COURSE YA SIASA MIEZI MITATU. Anaandika, Robert Heriel Mkufunzi Najua kila mtanzania ni mwanasiasa lakini wengi wenu mnataka muwe certified. Mambo ya makaratasi au sio. Kumiliki gamba ndio Mpango mzima, asije akakudanganya mtu Cheti cha Siasa ni zaidi ya Cheti cha upolopesa. Acha...
  15. JamiiForums Tanzania Prof Kabudi ni hazina kwa taifa letu akiweka siasa za uchawa pembeni

    Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k. Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu prof Kabudi kabla ya kuingia katika siasa za CCM watakubaliana na mimi kuwa huyu prof ni smart sana na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wakali wa uchambuzi wa siasa za kimataifa! IBRAHIM RAHABI vs JOSEPH KENEDY

    Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP Chanzo: Swahili Times Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele! --- Katika bajeti ya...
  19. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa mmeathiriwa na utumwa - mtatumika sana

    Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa. (a). Kwa nini vyama hamuanzishi miradi mipya ya vitegeuchumi ili pasipo kutegemea ruzuku fedha...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Diblo Dibala katika Siasa za Tanzania ndiyo nani?

    Nimekuwa nikisikia hili jina la utani kwa mwanasiasa fulani. Sijajua kalengwa nani. Namaanisha hili jina la utani kabatizwa nani? Ongea kwa code usitaje jina moja kwa moja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…