siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. K

    JamiiForums Tanzania Falsafa za 4R za Rais Samia ni msingi wa siasa safi na demokrasia. Je, zijumuishwe kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni?

    Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni? Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo...
  2. JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mkutano Maalum wa Vyama vya Siasa, Septemba 13, 2023

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini Katika Siku hii...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA na TEC hawakutuma Mwakilishi kwenye Kongamano la Vyama vya Siasa?

    Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Chama cha siasa kisichotofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilichokufa

    Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa". Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya...
  7. JamiiForums Tanzania CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

    Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost. Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

    Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema. Je naye TL mikito yake si mnaijua? Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana. Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora. Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

    Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha bila siasa

    Katika vitu vinasababisha na kupunguza muda wa kuishi na afya ya akili ni masuala ya siasa. Kila siku ni kusababisha presha na hasira zisizo na maana. Utasikia mafuta yamepanda, umeme umekatika mara bomba la maji litatoa upepo, shule michango nk. Huku kauli zao zikipandisha zaidi hasira na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
  12. JamiiForums Tanzania Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

    Wanajamvi kwema..... Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na...
  14. JamiiForums Tanzania Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kuanzisha chama kipya cha siasa

    Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana! Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata kwa kwenda, kama Dr. Slaa, amekataliwa CHADEMA, amekataliwa CCM, na anapenda kuendelea na siasa. Au...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  17. D

    JamiiForums Tanzania CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  18. JamiiForums Tanzania Athari za kuchanganya Siasa na Dini

    Uhusiano kati ya dini na siasa ni suala ambalo limekuwa na athari kubwa katika historia ya binadamu. Dini na siasa zinaweza kuwa na uhusiano wa karibu au wa mbali, na athari za uhusiano huu zinaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kihistoria, kitamaduni, na kijamii. Hapa kuna baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa na dini

    Kuna baadhi ya viongozi wa vyama na serikali wamekuwa waki toa maneno, wakiwataka viongozi wa dini wasijiingize kwenye siasa. La ajabu hao viongozi ni waumini wa hizo dini, na walipoapishwa, waliapa kwa kushika vitabu vya dini zao. Pia wanapokuwa kweny matukio mbalimbali, wanawashirikishia...
  20. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete anatakiwa kuelewa kuwa Dini ni Siasa na Siasa ni Dini

    MHESHIMIWA KIKWETE SISI WATUMISHI WA MUNGU HATUWEZI KUTOFAUTISHA SIASA NA DINI KWA SABABU SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA. Na Mwandishi wetu Mzalendo Mtanganyika toka Ughaibuni. 20 August 2023. 16:30 pm Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…