siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Lulandala acha kumchamba Mbowe. Siasa za mipasho ya kitaarabu hazifai.

    Fakii Lulandala, Katibu Mkuu Uvccm amesema kuwa "CCM ni chama kikubwa chenye watu wengi wenye sifa na uwezo na karama za uongozi, hakina historia ya kuruhusu ung'ang'anizi kwenye nafasi za uongozi kama kule kwa kwa jirani ,nakishukuru sana Chama changu (CCM) kuona kwamba kwa muda huu ninafaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na siasa zake za "I am the only negro incharge in here"

    Hebu fikirieni hili suala: Umma wa Tanzania umeanza kuamka, unakataa udalali wa rasilimali zao, unaanza polepole kukataa chapa waliyopigwa kwa muda mrefu kimkakati ya uoga, unaanza kuchukua hatua ya kupeleka Struggle katika hatua ya pili ya matendo badala ya maneno. Cha kusikitisha anatokea...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa

    Dkt. Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo yako hadharani juu ya masuala ya kisiasa huwa hakuna 'contradiction' kwamba unaingiza labda Siasa...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA inazuia Watanzania kuanzisha vyama vingine vya Siasa?

    Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania. Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Mchoro huu unahusu chama gani cha siasa?

    Nikiwa nafuatilia siasa za Tanzania na hata za east africa, huwa nazingatia zaidi tones, emotions, body language, color ya dress code ya muhusika, colar ya background au mapambo ya jukwaa au ukumbi wa mkutano na mwishowe nakua makini kuwazingatia watu wa karibu walioambatana na mwanasiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar. Taarifa zinaonyesha kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

    Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

    Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha Sasa wameenda na Zimbabwe. Kwa uzoefu...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye, inakuaje unajisifu kuona Watanzania milioni 5 ndio wako online? Je, nia ya kutaka 100% wawe connected ni ya kweli au siasa?

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Lindi amejisifu kuwa na digital divide kubwa mbali na kuwa yeye ndiye Waziri wa mawasiliano, tukiamini anafanya kazi kuhakikisha watu...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa na Sheria ni kitu kimoja?

    Kuna rafiki yangu mmoja tulipokuwa kwenye mazungumzo fulani ya kimaendeleo aliniambia kauli kuwa Siasa na Sheria na kitu kimoja kwa kuwa vyote vimejikita kwa kucheza na maneno tu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Falsafa za 4R za Rais Samia ni msingi wa siasa safi na demokrasia. Je, zijumuishwe kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni?

    Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni? Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo...
  12. JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkutano Maalum wa Vyama vya Siasa, Septemba 13, 2023

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini Katika Siku hii...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA na TEC hawakutuma Mwakilishi kwenye Kongamano la Vyama vya Siasa?

    Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania Chama cha siasa kisichotofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilichokufa

    Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa". Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya...
  17. JamiiForums Tanzania CCM mlizoea kufanya siasa za Michongo na CHADEMA ili wawalegezee na kuendekeza usanii. Wamekaza kiduchu tu mmesikia machungu

    Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost. Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

    Duniani hakuna fairness leo TL kachambwa sana na Genge lake la Chadema. Je naye TL mikito yake si mnaijua? Akipiga vijembe vyake vya siasa badala mjibu mtamkimbiza na vyombo vya dola eti katukana. Mchezo wa siasa ni mtamu kwa mwanasiasa bora. Watu wanahoji mikataba ya kitaifa wanaitwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

    Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha bila siasa

    Katika vitu vinasababisha na kupunguza muda wa kuishi na afya ya akili ni masuala ya siasa. Kila siku ni kusababisha presha na hasira zisizo na maana. Utasikia mafuta yamepanda, umeme umekatika mara bomba la maji litatoa upepo, shule michango nk. Huku kauli zao zikipandisha zaidi hasira na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…