siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

    Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika. Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia. Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata. Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
  2. tufahamishane

    JamiiForums Tanzania Siasa safi huleta amani na maisha bora

    Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo 1: siasa safi itazaa tunda la Amani 2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia 3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza 4:Siasa safi itaruhusu Uhuru katika Mahakama na vyombo vya habari Siasa safi ni ustawi wa nchi na siasa safi nizao la...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"

    Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Moja ya Makada wa CHADEMA ambao wenye mvuto sana kwa jamii katika ulingo wa Siasa ni Boniface Jacob A.K.A Boni Yai remember the name

    Habari! Mimi ni Moja ya wafuasi wa kutupwa Kule X nafuatilia sana machapisho ambayo hua anayaweka huyu jamaa For sure this Man ni threat Kwa serikali jamaa hua hatumii matusi hata kama baazi ya vijana wengine waliko katika Siasa. Umejiuliza kwanini Boni YAI na sio Martin Maranja? Martin hua...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa January Makamba Nje Ya Siasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Amani ni kubwa kuliko Utulivu, utulivu ni muhimu kuliko Demokrasia, na Demokrasia ni kubwa kuliko vyama vya siasa

    Tunahitaji amani sio utulivu, lakini ni heri ya utulivu kuliko demokrasia yenye vurungu, na bila kusahau kuwa demokrasia kwa watu hata wasiokuwa na vyama; ni zaidi ya vyama vya siasa kurahisishiwa kuwa viongozi na kwenda Ikulu. Amani: Ni kuwa na uhakika wa kuwaona wajukuu zako kutokana na...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Msakila Kabende:- NAWEZA kuwa msuluhishi kati ya Serikali, Vyama vya Siasa na taasisi za kimataifa?

    Watanzania; Salaàm! 1. Nilifuatilia hotuba za viongozi wa CHADEMA katika msiba na maombolezo ya Kibao kule Tanga - nikiona ipo changamoto kati ya taasisi hiyo na Serikali yetu pendwa; 2. Niliona taarifa ya Balozi za US, UK, Canada nk kuhusu malalamiko yanayohusu ustawi wa kijamii nchini; kisha...
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa

    Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko mazito kuhusu vitendo vya utekaji vinavyohusishwa na baadhi ya viongozi ndani ya chama cha CHADEMA. Matukio haya yanapokuwa ni sehemu ya majadiliano ya kisiasa na kijamii, tunapaswa...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi ana akili na anajua Siasa. Sidhani kama atadumu kwa hiyo nafasi aliyo nayo

    Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine. Hata uongeaji wake ni mtulivu na anahesabu maneno. Wakubwa wake wanatiririsha tu maji taka. Yeye anachuja. Nadhani...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Siasa ni dude kubwa linaloisumbua Tanzania, Afrika kwa ujumla.

    Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika zimelazimishwa kuzitumia katika kujitawala. Utamaduni huu umekuwa kaa la moto kwa viongozi wa kiserikali kwani...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vinapaswa kuwa na msimamo kwa kurudi kuhamasisha tume huru kwani raisi hajatoa tume huru bali jina

    ."
  13. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania ANTHONY MTAKA: Matukio ya Utekaji na uuaji hufanywa na makundi mbalimbali vikiwemo vyama vya siasa

    Nakubaliana na Amiri Jeshi Mkuu, kuhusu umuhimu wa kutafakari matukio kama ya risasi kwa Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani. Ikiwa tukio kama hilo lingetokea Afrika, jinsi ambavyo ubalozi na mataifa ya magharibi wangejibu ni swali la kujiuliza. Hivi karibuni, nguvu kubwa ya polisi...
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Siasa ilileta uhuru na amani kwa Tanzania na Siasa itaondoa uhuru na amani kwa nchi ya Tanzania

    Salamu, Napata wakati mgumu sana nikiwaza juu ya kuuawa kwa Rtd Officer, Ally Mohammed Kibao, natafakari sana na sijaweza kuwa sawa kuhusu kifo cha huyu mtu muhimu sana kwa Taifa. Nawaza ya kwamba waliomuua Ally Kibao wana leseni ya kumuua awaye yeyote yule. Mti wenye damu huzaa matunda...
  18. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima, anayofanya askofu mwanamapinduzi ni wewe unamtuma? Kwanini hujamfukuza kanisani kwako?

    Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ? Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
Back
Top Bottom