siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tofati ya Tanzania na Kenya katika Elimu, Mtindo wa Maisha, Siasa na Uwezo wa Kufikiri

    Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na fikra huru. Hii inawawezesha Wakenya kufikiri kwa kina na kuchukua hatua zinazoendana na maendeleo ya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema...
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Yanga wanacheza mpira wa siasa hapa Tanzania, matokeo wanayopata hauna uhalisia na ubora wao

    Hapo vip!! GSM ni mfanyabiashara hivyo anafanya mpira wa biashara. Ni wazi pamba imemkusanyia yanga point na magoli mengi ili yanga wachuukue ubingwa na GSM apate pesa zaidi. Ukiangalia mwenendo wa ushindi wa yanga, anapata magoli mengi anapocheza na timu zilizo sajiliwa na GSM Pia ili yanga...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu. Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa. Upo...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mwanasiasa gani Mwanamke wa Tanzania ambaye unavutiwa na Utendaji Kazi wake?

    Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya. Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza mabadiliko, na kupaza sauti za wananchi katika kushughulikia changamoto mbalimbali. Je, ni yupi...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho INJECT

    Barua ya usajili: Mwamba mwenyewe ndio huyu (mwazilishi): Meanwhile in Bongo:
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa soma hapa ujumbe huu uongeze kitu kichwani mwako

  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaepukika tukiacha siasa

    Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo. 1. Funga Free-standing Camera na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza (jela) na TRA. 2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini. Wakapambane na wauza gongo...
  10. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko acha unafiki wewe unaacha lini siasa?

    Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
  11. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, nini hasa maana ya neno SIASA?

    Kwenye kukua kwangu, hili neno Siasa ni neno la kawaida maana nalisikia mara kwa mara. Mfano: Chama cha siasa. Mwana siasa... Ila ukweli sijui maana yake. Maana hata wakati mwingine ni neno la heshima, na wakati mwingine ni neno la kuvunja heshima. Ukiongea uongo, unaitwa mwanasiasa. Ukitoa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwana Siasa Yupi hapa Nchini Mwenye Uwezo wa Kukusanya Na kubeba watu Wengi Kiasi hiki Cha Rais Samia?

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Zaidi ya Upendo ndugu zanguni Watanzania.Haijawahi kutokea hapa Nchini pengine hata ndani ya Bara zima la Afrika kwa Mwanasiasa kupendwa ,kukubalika,kuungwa mkono,kusikilizwa ,kufuatwa ,kubeba na kukusanya watu Wengi kiasi hiki Utafikiri watu wanavutwa kwa sumaku...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aunganishe nguvu na vile vyama 13 vya siasa vilivyopinga maandamano haramu ya Chadema yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Hii italeta pumzi mpya, changamoto mpya kwa ccm, mageuzi, na uelekeo mpya wa upinzani nchini. Hata hivyo, Hatua hiyo muhimu itategemea sana, utashi na utayari wa uongozi wa vyama hivyo vya kisiasa nchini, kuweka maslahi ya Taifa mbele, na kuweka kando tofauti zao za kisiasa, usaliti, ubinafsi...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tuna P-didy wengi waliojificha kwenye Siasa, Dini, Siasa na taasisi/kampuni rasmi

    I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono). II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni. Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono, 1. SIASA - huku...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?

    Kwema Wakuu! Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka ya hivi karibuni yàani miaka kumi hii patterns hizo zinafanana kwa kiasi fulani. Ukiangalia miaka...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Siasa chafu za CCM na usalama wa Waandishi wa Habari

    Baada ya wapinzani, kundi jingine linaloonekana kuteswa na kutaabishwa na ccm, ni hili la waandishi wa habari. 1. Daudi Mwangosi aliuawa na polisi alipokuwa akiripoti maandamano ya chadema. 2. Azory Gwanda alipotezwa na hajulikani alipo sababu ikisemekana ni kuandika habari za uchunguzi kuhusu...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa kiwango gani maandamano ya CHADEMA yataathiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wagombea wa chama hicho?

    November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao. Unadhani kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Dkt. Benson Bagonza aimiminia sifa na pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

    Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika. Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia. Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata. Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
Back
Top Bottom