siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusainiwa Mkataba ujenzi wa Barabara za DSM - MUNGU TUSAIDIE ISIWE NI SIASA ZA UCHAGUZI

    Serikali kupitia waziri wake wa Tamisemi Mh Mchengerwa imetutangazia kusainiwa kwa mikataba ya ujenzi wa Barabara za halmashauri za jiji la DSM. Maoni ya wananchi wengi wanaonyesha kutokuamini uhalisia wa jambo hili kwani inaonyesha ni kila mwaka kumekuwa kukitolewa ahadi nyingi ambazo zimekuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Youtube content creator

    Wakuu habar zenu Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha Simulizi ziwe interesting na za kusisimua Sharti uyo mtu awe mkoa wa mbeya
  3. kwisha

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri mtoto kumkataa baba yake mzazi kutokana na matendo yake?

    Japo imeandikwa kuwa kila binadamu ana mapungufu yake Ila mapungufu hayo yakizidi ayo tunaita makusudu. Let me go straight to the topic Ilikuwa mwaka 2010 baba alimuacha mama na kwenda kuishi na mwanamke mwingine alituacha sisi tukiwa bado watoto wadogo. Mimi ndo first born katika familia yenu...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa zaingia michezoni, baada ya CCM kuja na T-shirt za 'Watoto wa Mama' CHADEMA wamekuja na T-shirt za 'Watoto wa Baba'.

    Dawa ya moto ni moto, hii inaitwa Ubaya Ubwela.
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tutenganishe matukio ya kimichezo, burudana na mambo ya siasa hasa kwenye kutoa tuzo

    Waandaaji wa matamasha ya burudani na michezo mnaboa Hasa katika kutoa tuzo Mnaalika wanasiasa wasiokuwa na uelewa na masuala ya burudani ndo watoe tuzo Hawawezi hata kutaja majina ya wasanii mfano Chino wana man, s2kizzy, hip hop, rnb n.k Wanaenda kwenye majukwaa kujipatia aibu ya hiari Hivi...
  7. Logikos

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Vyama vya Siasa vyenye Wanachama wengi duniani (According to Wikipedia)

    According to Wikipedia Vyama vikubwa ni Bharatiya Janata Party BJP, Chinese Communist Party; Indian National Congress; hivyo vina wanachama zaidi ya 50 million Between 5 to 50m CCM ipo namba Tisa ikiwa na wanachama 12 million Democrats USA; Namba 5 (45 M) Republican USA Namba 6 (36M)...
  8. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Naweza Kudumu Kwenye Siasa Bila Rushwa? Maadili Yangu Yananizuia au Yatanisaidia?

    Ndugu zangu, Nimekua nikijiuliza jambo zito Je, mtu anayeishi kwa kusema ukweli, kuchukia rushwa, na kushikilia maadili anaweza kweli kusimama imara kwenye siasa zetu za sasa? Mimi ni mtu ninayethamini haki kuliko kitu chochote. Nachukia rushwa kwa nguvu zote, kiasi kwamba hata kama ningepewa...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini msajili wa vyama vya siasa huwa habadilishwi mara kwa mara?

    Tangu nimepata akili za kufuatilia siasa wasajili wa vyama vya siasa ninaowafahamu ni John Tendwa na huyu wa sasa Francis Mutungi, Sina kumbukumbu kama katika kipindi cha miaka 15 kumekuwa na wasajili wa vyama vya siasa zaidi ya hao wawili, lakini sijawahi kuona tengeua tengeua katika hiyo...
  10. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Wanajifarini mwa kusema siasa sio kazi.

    Wakati wakiwa madarakani walikua wakitamba na magari wasio yajua yananunuliwa kwa nguvu za nani, Amino nawaambia hata punje ilio ndogo ikitolewa kwenye gunia basi amini halitakua gunia kamili. Mlioajiriwa na serikali punguzeni dharau.
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Usafiri kwenda kwenye mikutanao ya siasa si jambo la ajabu bali ni bainisho la ustaarabu

    https://www.yahoo.com/news/trump-coachella-rally-attendees-were-010925587.html
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
  17. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili na Kazi kwenye Vyama Vya Siasa

    Afya ya akili ni kipengele muhimu cha ustawi wa binadamu katika maeneo yote ya maisha, hususan kwenye maeneo ya kazi. Tunapoadhimisha siku ya afya ya akili duniani, na kauli mbiu ya mwaka huu, niongelee kwa ujumla taasisi ninayofanyia kazi. Taasisi za vyama vya siasa zina umuhimu mkubwa katika...
  18. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Juma Usonge asambaza vyakula kwa wanafunzi wa kambi watahiniwa wa kidato cha pili Jimbo la Chaani

    Mbunge wa jimbo la Chaani Mhe, Juma Usonge ameendelea na utoaji wa vyakula kwa wanafunzi wa watahiniwa wa kidato cha pili skuli za Sekondari Jimbo la Chaani wilaya ya kaskazin A Unguja. Usonge amesema ikiwa yeye ni kiongozi wa jimbo hilo na mdau mkubwa wa elimu amesema utoaji wa sadaka iyo...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
Back
Top Bottom