siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu inabidi aingoze Chadema kutokana na hali ya siasa iliyopo

    Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

    Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao? Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo? Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mch. Peter Msigwa yupo live kwenye kipindi cha Medani Za Siasa cha Star TV

    Mchungaji Peter Msigwa kada mpya wa CCM yupo live Star Tv. Fungulia tumsikilize Soma Pia: Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania 4R za Rais Samia Suluhu Hassan: Mafanikio na changamoto zake

    Resilience Reconciliation Reform Rebuild Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya, katika kushughulikia masuala ya sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini. Tunaelekea kwenye...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

    Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi. Dk Shoo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Penye nia ya kisiasa pana njia ya kisiasa

    Mwanasiasa mzuri na mahiri hutumia na kubadilisha changamoto anazokumbana nazo katika majukwaa ya kisiasa na kua fursa ya kujiimarisha na kujizatiti zaidi kufikia ndoto, lengo, matarajio na azma yake ya kisiasa.. Mathalani, kushindwa uchaguzi ni fursa muhimu sana ya kujitahimini, kujisahihisha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa Chawa wa kike wanajiita dodo lililoiva!

    Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana. Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva 😄 Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. 🐼 Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hatari na nusu, Bure Ghari.
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siasa za kuropoka chini ya kivuli cha CCM: Serikali kupata maswali magumu

    Kumekuwa na tabia ya ajabu sana miaka ya hivi karibuni, yaani mtu akiwa tu na nafasi na kupewa "microphone" anajiona kama sijui yupo chini ya mwamvuli gani, wanajisahau kuwa CCM inawajibika kwa wananchi na badala yake wanawaona wananchi kama watumishi wa CCM. Kila taasisi, chama, kikundi au...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

    Wataalam wa Masuala ya Protokali na Katiba ya Nchi tunaomba Maelezo yenu ili tuelewe, Siku tutakuja kuambiwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake au Kizimkazi Kamwakilisha Rais Nchi Fulani. Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania...
  13. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Watanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

    Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana halikufanya kitu sasa hivi linasema vijana. Yaani huwa nashangaa pale jitu limepigwa na maisha...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Technology inavyofichua Siri za vikao vya ndani vya serikali na vyama vya siasa; ogopa miwani, kalamu na saa

    Nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania zina kile kinachoitwa vikao vya ndani. Vikao hivi ujadili mambo mengi ya kimkakati ndani ya misingi ya sheria na nje misingi ya sheria. Lakini katika vikao vyote kwa sasa binadamu wamebadilika sana. Wapo wanaoamini katika haki na wapo wanaoogopa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na CHADEMA kukutana kujadili hali ya Siasa nchini

    Makatibu Wakuu wa vyama vya Upinzani Tanzania (ACT Wazalendo na CHADEMA wanapanga kukutana na kujadili hali ya kisiasa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ameandika kupitia X (Twitter) "|Nimezungumza kwa simu na @jjmnyika, Katibu Mkuu wa...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

    Wakuu salam, Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Siasa bila pesa, chawa na ndumba hutoboi

    Siasa zetu za kibongo bila chawa, ndumba na pesa hutoboi. PhD tupa kule! NB: Antipasi kazi unayo, itakuchukua miaka 10 kununua gari jipya.
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi akemea tabia watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amekemea tabia inayoindelea kwa sasa ya watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu na kuibua maswali mengi yasiyo na majibu katika jamii. Hapi ametoa kauli hiyo akiwa wilayani...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Polisi Wapelekwe Shule. Hawana Mamlaka ya Kuzuia Mikutano ya Vyama vya Siasa.

    Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi. POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia yawezekana wanajua sheria inataka nini ila kwa kiburi na kwa makusudi wanaamua kuikanyaga sheria kwa...
  20. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania January Makamba nje ya siasa ana taaluma gani?

    1. Mgombea Urais namba 5 mwaka 2015 na Waziri Mwandalizi (Mstaafu) Mambo ya Nje, Makamba. Ana taaluma gani mbali na Ubunge alio nao? 2. Ikitokea 2025 Chama kisimpitishe kugombea, itakuaje? Atatumia taaluma ipi kuongeza kipato?
Back
Top Bottom