siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

    Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje? Julius Kambarage Nyerere, Abeid Aman Karume, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Upako na siasa.( Sihasa)

    Habari wakuu,, Salamu ki ufupi tuu, Leo nilienda kwenye Ibada katika kanisa la arise and shine, Kwa Imani yangu Mimi binafsi ninamkubali sana Tena sana huyu bwana Bulldoza mwamposa.( Kila MTU na Imani yake kwa hili tusilijadili) Kama kawaida baada ya Ibada kuisha Kuna jambo moja kwangu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa AI wa kisheria kuhusu kimachosemwa kuwa ushirikiano kati ya NIDA, INEC na CCM

    Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa. Uhalali wa jambo...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna siasa wala wanasiasa Tanzania wote ni mazuzu!!

    Kila mtu anapuyanga na upepo wake kama unavyoamka na bendera kufuata upepo,leo wako kwa polepole kesho kwa lisu mwisho wake maiti tu za kisiasa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uganda Nje, Kenya Nje, Tanzania Nje, Lipo Tatizo Ukanda huu, Mnaoleta Siasa hapa Tanzania

    Wewe unaeiponda Tanzania kwa kutolewa CHAN jana na unashangilia halafu una comment kwa matusi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  8. JamiiForums Tanzania Ipo shida kubwa kwa Watanzania na sio siasa za ccm wala watawala.

    Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa siasa uchwara zimekithiri michezoni leo naomba Morroco waifungu taifa stars tano bila

    Litakuwa jambo jema sana. Walimu wanaishi vijinini hawana nyumba. Manesi na madaktari wanangaika vijijini kuokoa maisha ya watu. Hakuna anayepewa hata sh tano kama motisha. Leo stars afungwe tano bila
  11. JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  13. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Tanzania, ipo kwenye mchakato wa Kubadilishwa

    A young man to Provide wisdom to some people ...who will begin to seek wisdom from him...on how the Direction of the Country will be mapped.... The Young Man they will take from one location to another ...and now is sat at the Location now...and they have been listening and asking him... though...
  16. JamiiForums Tanzania Je Fid Q ameacha kusifia siasa, mstari mmoja anasema Siasa imetufunza tukae kimya ili tuishi

    Kwenye wimbo wa Msanii Fareed Kubanda "Fid Q" aliyoitoa hivi karibuni kama zawadi ya Birthday yake ya Mwaka 2025 ina maneno kadhaa yenye ukakasi? Kwenye ngoma inaitwa History Mstari mmoja amesema "Mtaani hali ni mbaya ila tunakaza tu kiubishi, Siasa zimetufunza kufunga mdomo ili tuishi"...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

    Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
  18. JamiiForums Tanzania Nimekaa nikawaza kuwa kila kitu ni ubatili. Siasa hizi ni ubatili

    Kuna vitu havielezeki ukiviwaza kwa ndani. Mojawapo ya jambo lidiloelezeka na kuonekana ni kama utoto wa kikubwa ni hii kesi inayoendelea ya Jamhuri dhidi ya Lissu. Unakaa unawaza, hivi kweli kabisa wanaume wazima wanapanga kesi na kutumia rasilimali za nchi kuendesha kesi batili dhidi ya mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…