siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Siasa oyaoya, siasa za matukio, siasa mwendokasi ni changamoto kubwa sana inaowakumba wapinzani kwa ujumla

    Miezi iliyopita tuliona movement kubwa sana ya no reform no election sisemi kwamba movement imekufa ila sioni zile harakati zikiendelea wako watakaosema wamezuiwa kufanya siasa hiyo sio sababu wanatakiwa wakomae hivyo Ghafla anakuja yule balozi aliyejihudhuru kule quba sasa hivi ndo anatrend na...
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Siasa ni ujinga

    Siasa ni ujinga ulio kubuhu. Ujinga wa siasa ulifanya na umefanya -Ukraine na Russia kugombana hawa ni ndugu wa damu kwa kiasi kikubwa - Korea kugawanyika na kuzalisha kusini na kaskazini na kugeuka maadui wakati ni ndugu wa damu - Israel na Palestine ndugu wa karibu wakigombana kwa sababu...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Manabii, mitume, maaskofu, wachungaji msikilizeni huyu mjue wajibu wenu kwenye siasa

    CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini! Kwa CCM viongozi wa kanisa wanapoisifia huwa si kuchanganya siasa na dini, ila CCM wakikosolewa ndiyo huwa siasa imechanganywa na dini...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa za Bukoba Mjini Kati ya Lwakatare na Kagasheki ilikuwa hatari sana ile ligi!

    Miaka imeenda Sana . Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga. Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa. Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

    Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi. Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano. Kwa sasa Chadema imetekwa na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Isihaka Mchinjita kuhusu Luhaga Mpina, asema ACT Wazalendo inawakaribisha watu wote waliokosa fursa kwenye vyama vyao

    Wakuu Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
  7. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CCM na Siasa ya Kuendeleza Umaskini: Uongozi au Uonevu wa Kitaasisi?

    CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bongo Plus na Uchaguzi Mkuu 2025: Wanatafuta Historia ya Vijana wa Kale na Vijana wa Leo Katika Siasa

    Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo. Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi kubwa la vijana kuingia kwenye kinyang'anyiro kuwania nafasi za uongozi katika taifa kwenye uchaguzi...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Rasmi nahama kwenye siasa

    Expect unexpected,nilijua atarudi,ndio kwani kafanya mengi yenye kuonekana,nasema hivo Mimi mwananchi ninayeishi naye huyo mgombea aliyekatwa. Amewakilisha wananchi vilivo,alisemea wananchi shida zetu akajenga hoja ameangukia pua,nahama kwenye siasa sitaki tena siasa za majimoto,husda,vihoja...
  11. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Tuwe na Kiasi Kwenye Kuwasema na Kuwajadili, Maana Siasa Muda Wowote Mambo Yanabadilika! Hasa Kati kipindi Hiki Tanzu! Bado ni Asubuhi Sana!

    Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe, Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa! Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi ya wazalendo wachache

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache. Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Familia ya Makamba imefanya nini hadi kupoteza ushawishi katika siasa za CCM, walianza kumweka kando Mzee Makamba, round hii ni January

    Ni tishio ? Wamepitwa na wakati ? Wamegombana na Ccm ? Mgongano wa masalahi ? au ?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea nyuma ya huu ufaulu wa kushangaza wa kidato cha sita?

    DIVISION 1 - 61,120 DIVISION 2 - 49,385 DIVISION 3 - 14,870 DIVISION 4 NA 0 - 760 Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa

    Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa umoja wetu tukatae hii migao ya Bara na Zanzibar kwenye siasa ni ubaguzi

    Nchi ni moja hakuna ubaguzi wa kanda sasa migao ni ya nini Sijui vyama vya siasa kugawa mali pande zote!! kwani unguja na Mwanza tofauti yake ni nini?? mbona mikoa mengine haina mali za vyama kama mengine!!!. Hii kulazimisha kisheria kugawa mali za wati zaidi ya milioni 60 kwa watu milioni 2...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua Meya wa Jiji lako la Dar es Salaam?

    Wana JF, Hata kwa kuwa tuna chronic issues (majitaka, dampo, mitaro, parking, paving nk) kero hizi zinamfikia nani?
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA imeahirishwa hadi Agosti 7, 2025

    Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni, uamuzi wake unatarajiwa kutolewa Julai 28, 2025. Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu...
  19. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Wiki inayoanza kesho jumatatu itakuwa na matukio ya kusisimua katika siasa ya nchi yetu

    Hii itakuwa wiki ya moto sana kwa wanasiasa na siasa kwa ujumla. Kuanzia chama tawala mpaka upinzani. Kuna matukio ya kisiasa yatatokea ndani ya wiki hiyo kuanzia kesho jumatatu tarehe 28/07/2025 mpaka jumapili ya 04/08/2025 Tuvute subira
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
Back
Top Bottom