Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.
Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa.
Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao...
Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo.
Kasalali ametangaza leo Julai 2 mwaka huu na kueleza kuwa kwa sasa anataka kupumzika kuwatumikia...
Kwa umri wake, katika siasa, Kassim Majaliwa Majaliwa bado ni kinda. Je, sasa inakuwaje hagombei ubunge tena? Je, amestaafu au kastaafishwa? Nani aweza kuwa waziri mkuu baada yake?
Je, hili linasema nini kuhusiana na Mama na Watu wa Jiwe?
“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.”
Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza kusikika – sauti ya matumaini lakini pia yenye mzigo mzito wa ukweli. Sauti hii inaitwa CCMJless –...
Ndugu zangu tegeni masikio hapa!
Katika enzi za mfalme mwenda zake!
Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana!
Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza!
Ni kijana ambae ukimpa nafasi tu atatumia kila mbinu ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko wengine...
Kuanzia 2015 kuja hadi sasa, ni tofauti sana na hapo kabla.
Ni kama vile wakubwa waliona wakicheka na nyani watavuna mabua,
Kilichofuata ni vibano kila sehemu.
Media, free speech, n.k
Ila kama ilivyo 1995, 2015,
2025 nayo wenda ikakumbukwa sana kwenye historia ya Siasa za Tanzania.
Habari Tanzania !
Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha?
Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi.
Asante.
Kumekuwepo na wimbi kubwa la wasanii kujiingiza kwenye siasa kwa kuwania nyazifa za juu za kuiongozi je hii sio hatari kwenye nchi yetu ?
Hili wimbi la hivi sasa na katiba mbovu iliyopo inatupeleka wapi Tanzania pale ambapo kura yako haina maana yoyote, hii inaweza kuwa ndio chanzo cha kila...
CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi Bungeni.
Eti watu wanapokea rushwa gizani alafu wanazirudisha mbele ya kamera.
Nomsensical...
Nawasalimu wanabodi.
Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza.
Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu...
Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe.
Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema.
Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
Dr. Aris Latham ni mmoja wa wataalamu maarufu katika fani ya afya na ustawi, ambaye amekuwa akisisitiza umuhimu wa usingizi katika maisha ya kila siku. Katika mwaka wa 2019, alifanya mazungumzo kadhaa kuhusu jinsi usingizi unavyoweza kuathiri afya ya mwili na akili. Alieleza kuwa usingizi ni...
Great Thinkers wa JF,
Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
Wakati Jon mrema na wenzake wako bize na press conference baada ya kuondoka chadema niliwashangaa sana
Kwanini nasema hivi siasa ni imani ambayo unatakiwa uwajengee wananchi kwa mda mrefu na ina gharama sasa wakina Jon mrema na wenzake wakataka kutumia shortcut naamini wameona game lilivyokuwa...
Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
Sina Deni!
Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli.
Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi.
Mtoto wa Mkulima ni Mkulima.
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka!
Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli?
Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
Hamjambo wote!
Ni ngumu Sana kuitenga Dini na Siasa. Ngumu Sana.
Ikiwa nchi inawananchi wengi wanaoamini katika Miungu na Dini huwezi kutenganisha siasa na Dini.
Ndio maana wanasiasa katika nchi zenye kuamini Miungu na Dini watanyumbulika watakavyo nyumbulika, watakukuruka watakavyo kukuruka...
Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa...
Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.