siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Siasa zilivyomdhulumu mzee Moi mwanamke wa maisha yake

    KILA mwanaume anaweza kupata mwanamke, akawa mpenzi, mke, mama wa watoto wake na wakajenga familia. Hata hivyo, kupata mwanamke wa maisha, inahitaji mwongozo wa Mungu. Kila mwanamke anaweza kupata mwanaume. Atamwita mpenzi, mchumba na hata mume. Mwanamke kumpata mwanaume wa maisha yake, sio...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa hata mpiga kura mmoja ana veto sana, puuzeni tu ya JF

    Nipo kwetu Idukilo, namalizia malizia mapalaghe ya Mwaka jana ili tuanze kumenya viazi vya Mwaka huu. Twala misosi ya asili ndiyo maana Wasukuma tupo rijali sana. Nimekuwa nikifuatilia eti watu wanadharau comments za mitandaoni kwa kuwa wanaona eti watu ni wachache sana mitandaoni. Pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

    Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rapper Rosa Ree atoa Wimbo mpya unaoitwa "Balenciaga

    Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa Mambo ya Vitamini Uuuuuuuuu
  5. JamiiForums Tanzania Maaskofu na watumishi wa Mungu mjitafakari sana kuhusu siasa za nchi yetu!!

    Wanabodi za asubuhi! Tangu zamani sana nyakati zile za biblia Mungu aliwafunulia waja wake kuhusu hatma yao ya matukio ya mbeleni kwenye maisha kupitia watumishi wa mungu kama manabii na mitume!!Nakumbuka kisa cha nabii Eliya cha kutabiri kutokunyesha mvua miaka mitatu na nusu kutokana na taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020

    TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Naftaha Nachuma, Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) amedai, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, wameanzisha...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi Updates ------------ Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais ------------- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
  8. JamiiForums Tanzania Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tumelewa tila lila na siasa pindu pindu, tunasahaulishwa ya msingi Idukilo tunazidi kuumia -

    Nimeshangaa sana hoja zinazoendelea, mara Zito mara Kangi. Kangi alichofanya ni kukengeuka kwake tu. Alifikiri kukata mauno kuliko Mond basi Mkulu atamlegezea tu na kupiga dili la kisawasawa. Ona Zitto naye - barua yake dhahabu lkn wanataka kumchonganisha na wana wa nchi. Serikali...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ndiye Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika. Bila juhudi zake CCM ingekuwa kama KANU

    Mtafiti wa masuala ya siasa za Afrika nchini Kenya ndugu Jonathan Otieno amesema Rais Magufuli ndiye mwenyekiti bora na aliyeleta mabadiliko makubwa kwenye chama chake ukilinganisha na wenyeviti wengine barani Afrika. Otieno amesema ni juhudi binafsi za Dr Magufuli zilizorudisha uhai kwenye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kama Nape, Mwigulu, January na sasa Kigwangalla wameathiriwa na siasa chafu basi "huyo" aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu haswa!

    Ukiangalia kwa jicho la tatu kuna uwezekano mkubwa hao niliowataja hapo juu wasirudi bungeni baada ya uchaguzi mkuu ujao kutokana na majeraha makubwa ya kisiasa waliyonayo. Wote kwa nyakati tofauti wamedai madhila yaliyowakuta yametokana na siasa chafu wanazotendewa ndani ya CCM. Ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ilivyoshika uhai wa vyama vya siasa

    Ni dhahiri siasa za majukwaani kwa miaka minne iliyopita zilikuwa na changamoto kubwa lakini mitandao ya kijamii imeonekana msaada mkubwa katika kukuza uhai wa vyama vya siasa au mwanasiasa mmojammoja. Zimekuwapo juhudi za kuwashawishi watumiaji wa mitandao ili kupata wafuasi miongoni mwao, na...
  13. JamiiForums Tanzania Uhamiaji acheni siasa, mnafeli wapi?

    Wadau, nimelileta hili maana limenivuruga akili haswa. Ipo hivi: Niliingia tovuti ya Uhamiaji kwa ajili ya maombi ya passport ila mambo niliyokutana nayo huko yameniacha hoi na kunifanya niamini siasa siyo mchezo mzuri. Kero nilizoziona ni kama ifuatavyo: 1. Katika kujaza form kuna kipengele...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Dikteta anayetoa Ruzuku kwa vyama vya siasa!

    Tanaambiwa Tanzania tuna Rais Dikteta, mnyanyasaji, anae ua upinzani, katili n.k Sasa tujiulize kitu hivi Kama kweli hayo yasemwayo je inawezekana vipi Dikteta akawa anatoa Ruzuku kwa vyama vingine vya siasa jambo ambalo ni haramu katika utawala wowote ule wa Kidikteta duniani. Vyama vya...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano 2020 tukapata viongozi wabovu sana!

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita umetoa funzo. Kuna viongozi wamepita bila kupingwa ila baadae kidogo wananchi wamewakataa na wengine wamejiuzulu kwa kukosa support ya wananchi. Dosari za uchaguzi huo, zilibainishwa na Mh. Jafo ambaye ni Waziri wa TAMISEMI na mwenye dhamana. Aidha...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika hotuba yake ya kwanza katika mwaka wa 2020 aliyoitoa kwenye Ikulu ya Rais Mombasa amemteua Monica Juma kama Waziri wa Ulinzi huku Raychelle Omamo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ukur Yatani ameteuliwa kama Waziri wa Fedha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani ni kama vikosi vya Tarabushi vimejaa hofu na haviwezi kuhoji lolote kwa Wenyeviti wao

    Jana kupitia gwaride la kikosi cha Tarabushi kwenye sherehe za Mapinduzi Zanzibar tulijifunza mambo muhimu sana. Mojawapo ni jinsi viongozi wanavyoweza kuwajaza hofu walio chini yao na kisha kuwaburuza. Ndipo nikawakumbuka viongozi wa Chadema na CUF yaani Prof Lipumba na Mbowe jinsi...
  18. JamiiForums Tanzania Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

    Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran. Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira . Tupeane updates ***** UPDATE Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa ndo inaendesha maisha. Kubali ukatae huu ndio ukweli

    Wanajamvi habari za muda huu? Naamini mko salama. Leo nimeona nije na mada hii kwamba siasa ndo inarun maisha kwa kuwa kila tunapobadilisha viongozi wa kisiasa kila kitu kinabadilika. kwa hiyo kwa uelewa wangu siasa ndo kila kitu. Kwanza ukiangalia mifumo ya maisha wanasiasa ndio wanaobuni...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura,Sioni vyama vya siasa na vya wafanyakazi Vikihamaisha watu wao

    Huu ni mwaka wa uchaguzi lakini pia tume ya taifa ya uchaguzi ipo katika zoezi la uboreshaji wa daftari la Wapiga kura .Wakati zoezi hilo likiendelea vyama vya siasa vipo kimya na vyama vya wafanyakazi navyo vipo kimya. Vyama vya wafanyakazi vinawajibu wa kuhamasisha wanachama wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…