siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    Kwanini Watanzania wanaachana na taaluma zao na kukimbilia kwenye siasa?

    Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani. Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata? Niishie hapo kwa kifupi. Maendeleo hayana vyama!
  2. Hatma ya Raila Odinga kwenye siasa za Kenya

    Tangu kuwepo kwa ushirikiano kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga mnamo Machi 9, 2018, kumekuwepo na maswali chungu nzima kuhusu hatma ya kisiasa ya Bw. Raila Odinga katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 nchini Kenya. Wengi wamekuwa wakikisia na kujaribu...
  3. T

    Siasa za chuki na kuhujumiana zitaleta mpasuko mkubwa ktk Taifa

    Napenda kuwakumbusha Wana ccm na wapinzani epukeni siasa za kuhujumiana nadhani mnakumbuka yalio tokea Znz na bara miaka ya nyuma wakati ule hapakuwa na teknolojia tunayo SASA. Vyombo vya usalama jeshi la Wana nchi wa Tanzania na usalama wataifa wa tahadharisheni viongoz wakuu kwamba hili Taifa...
  4. B

    Madhara ya Marufuku Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa

    14 August 2020 Hai, Kilimanjaro Tanzania Madhara ya Marufuku ya Siasa kwa miaka 5 imesababisha CCM kukosa uvumilivu wa kisiasa na kutishia machafuko nchini Kufuatia kupigwa marufuku shughuli za kisiasa Tanzania sasa tunaona madhara yake katika maeneo fulani. Na athari zake zimekuwa kubwa kabisa...
  5. E

    Pamoja na siasa zetu tujue Corona ipo

    Mungu ametunusuru na hili gonjwa la ajabu, sio tu korona kipindupindu surua tetekuwanga kaswende na mafua navyo vimetokomea. Sasa hivi ni adimu kumwona hata mtoto anamafua, ukipiga chafya watu wanaweza pitia madirishani kukukimbia. Sasa hawa jamaa zetu wasaka kura sijui udhamini hawana...
  6. GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  7. Siasa za ushabiki, siasa zisizo za uzalendo

    Siasa za ushabiki, Siasa zisizo za uzalendo. Hii nchi ni takribani zaidi ya miaka 45 toka ipate Uhuru, ni nchi yenye rasilimali na utajiri wa karibu kila aina. Lakini Cha kushangaza hata uchumi wa Kati hatujafikia. Na mpaka hatutaki kuvumbua shida nini inayotukwamisha tusifikie hata uchumi wa...
  8. Lissu anafikiri siasa ni sheria tu

    Mwanasheria Lissu anafikiri siasa ni sheria tu. Anataka kutuaminisha haki ni sawa na sheria. Lengo la kuwepo sheria ni ili kuwepo utawala wa haki. Ili kupata haki kunapotokea mtu kuvunja sheria kunakuepo wanasheria kutafsiri sheria. Haki ni sawa na kweli, ipo tu. Uanasheria ni taaluma ya...
  9. Vyama vya Siasa fundeni watu wenu

    Kama Kuna Jambo litakalonipa amani wakati huu wa uchaguzi ni kuona wanasiasa wanajikita kwenye siasa za masuala( politics of issues). Na kweli kiasi unaweza ona wanasiasa cut across wanaeleza issues. Tatizo ninaloliona ni mashabiki wao au wanachama ukipenda. Wengi hawafuatilii issues na naona...
  10. J

    Jaji Mutungi ni Mlezi wa CCM au Vyama vyote vya Siasa? Maana kwenye Mikutano Mikuu ya Wapinzani haonekani

    Nauliza tu kwa nia njema kwa sababu malezi yana maana pana. Mara ya mwisho nilimuona msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi kwenye mkutano mkuu wa CCM. Baada ya hapo amekuwa akiwakilishwa na msaidizi wake mh Nyahoza katika Mikutano yote ya Vyama vya Upinzani iliyofuatia huku akitoa udhuru...
  11. Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa akitoa neno katika mkutano mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK)

    Kikao hicho kinafanyika katika Hotel ya Ndekha hapa Manzese Kagera
  12. Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

    Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania... Nitaanza na haya: 1. Riziwani Kikwete akamatwa na madawa huko China. Hili lilivuma hadi watu usiotarajia nao kuchotwa. 2. Sumaye ni bilionea anamiliki hadi kampuni...
  13. GE2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

    Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti CCM acheni masiala aiseeee. Mtu anashindwa kujieleza mbele ya Wajumbe si ndio ataishia kupiga makofi tu...
  14. Financial Intelligence Unit (FIU), muwe makini kuna fedha nyingi itatoka zitatoka Ulaya kuja kusaidia kampeni za Chama cha Siasa

    Wasalaam, Jamii Forums. Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu. Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani...
  15. GE2020 Kamati ya siasa CCM Mkoa wa Dar, acheni maamuzi ya kuangamiza chama jimbo la Ukonga, mnadhalilisha chama na Uongozi wa juu kwa rushwa!

    Habari wana JF! Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na tumelilalamikia tangu mchakato haujaanza , Ila penye udhia penyeza rupia ndio staili. Mwenyekiti wetu mh...
  16. Benki Kuu ya Tanzania yatoa maagizo juu ya uendeshaji wa Fedha za Kigeni

    Benki Kuu imetoa dokezo la kisera (fedha) kudhibiti zaidi upatikanaji wa fedha za kigeni. Sera hii inapunguza upatikanaji wa fedha za kigeni kwa ajili ya miamala ya kimataifa (export revenue) na kitaifa au kuharamisha biashara za fedha za kigeni kuoitia mitandao kwa miezi sita (6) ijayo Katika...
  17. M

    GE2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

    Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao. Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
  18. Dhana ya Ubeberu na Siasa za Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda nitoe Elimu kwa watanzania juu ya propaganda za wana CCM kuwa yeyote anayempinga Raisi Magufuli ni kibaraka wa Mabeberu. Wanasema haya wakitaka kujenga picha kwa watanzania ( wadanganyika) kuwa ubeberu ni kama dhambi au jambo fulani ambalo halifai. Najua kwa...
  19. Hivi ni lazima kualika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwenye mikutano yao?

    Nimemuona Sisty Nyahozya kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, lakini pia nimemuona kwenye Mkutano Mkuu wa ACT WAZALENDO , huku nimemuona akipewa na Airtime ya kuongea na Wajumbe . Kiukweli nimekwazika sana na uwepo wa mtu huyu kwenye mikutano ya vyama hivi , na wala sina kumbukumbu kama amewahi...
  20. S

    Kuna ulinganifu wa karibu sana kati ya Vyama Tawala vya Siasa na Mafarisayo wa zamani katika nchi nyingi zinazoendelea kwa namna hii

    Ukiangalia historia ya zamani katika kipindi ambacho Wayahudi walikuwa wakiishi chini ya sheria ya Musa, kulikuwa na kikundi cha Mafarisayo ambao walikuwa na namna ya usimamizi juu ya jumuiya ya Wayahudi, pamoja na Sheria ya Musa. Hivyo sheria ya Musa ilikuwa ndio katiba ya taifa la Wayahudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…