siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 na bao la mkono alilopiga Halima Mdee isiwe sababu ya kuponda siasa za Bongo

    Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Watanzania Kulalamika Msimamo Magufuli juu ya umuhimu tahadhari dhidi ya Magharibi, Emu Tuchunguze Siasa za Mageuzi:Kimkakati vs Mageuzi huru

    Rais wa Tanzania Magufuli: aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya, aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania, kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko la ndani, kaongeza ukusanyaji wa ushuru, kazuia usafirishaji wa mchanga wa madini, na sera zingine...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

    Kila eneo analopita waziri wa afya Dkt. Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk. Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!? Chapa kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Siasa na namna ya kushinda uchaguzi inafanana kila mahala kuthibitisha kwamba dunia sasa ni kijiji

    Clientelism – another reason to worry about US democracy The last several months have given us many reasons to worry about US democracy – not least the riot at the US Capitol and the president’s refusal to accept the results of the November election, with Republican support. Rachel Gisselquist...
  5. JamiiForums Tanzania Tujitafakari kwa kina: Vikwazo vya Mmarekani vina manufaa kwa siasa za Upinzani?

    Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu. Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali ya awamu ya tano kudhibiti siasa za harakati zilizokuwa zinachelewesha maendeleo

    Jamani wana JF palipo na ukweli lazima usemwe. Huko nyuma kuna mambo yaliachwa lakini hayakuwa na tija kwa umma wa watanzania. Hasa haya mambo yalishamiri sana awamu ya nne ya Jakaya Kikwete. Yaani miaka kumi ya utawala wa Jakaya ilikuwa ni siasa zisizo na tija kwa taifa na raia wake...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

    Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani? Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe wale wanaofanya siasa za upinzani mitandaoni ni wengine na Wapinzani Wanasiasa halisi ni wengine!

    Kuna vitu hapo awali nilikuwa sielewi kabisa, kuna wakati wanasiasa halisia walikuwa wanakosea kabisa na hata mtoto ukimuuliza anakwambia kuwa hilo ni kosa lakini wanasiasa wa mtandao walikuwa wanalipongeza sana. Wakati mwingine uliweza kuona hali ya siasa za upinzani zinapita katika shida na...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Siasa za Afrika kama wamoja, Bobi Wine anaonja joto siku chache za kupiga kura

    Wakati wa kampeni mpaka uchaguzi nchini Tanzania wanasiasa wa upinzani walikuwa wanalia faulo za hapa na pale na ilifika mahali hata mitandao ya kijamii kupungua uwezo. Haya hapo jirani kwa mzee anayetaka kuvunja rekodi kufika miaka 100 akiwa madarakani mu7 anafanya yake. Huyu ni mgombea...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini P Funk Majani mmiliki wa Bongo records hajihusishi sana na siasa?

    Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona mbali au ana maono ambayo ni zaidi ya siasa, je kumudu biashara zake na kutohusisha na siasa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Leo ndio najua David Mwakyusa bado yupo kwenye siasa

    Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nani kawatuma wananchi kumwona Mbowe shujaa wa siasa za Tanzania?

    Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka iliyomchukiza Mungu wakati Abel alitoa sadaka infaayo Mungu. Matokeo yake Sauli hakulia na kumshutumu...
  13. JamiiForums Tanzania Nini maoni yako baada ya Malissa kuacha siasa za kiharakati na kuwa fundraiser?

    Kijana kutoka Chadema ndugu Godlisten Malisa ameamua kuacha siasa za pingapinga na badala yake ameamua kufanya kazi ya Mungu, kuwasaidia wenye uhitaji. Japokuwa hamna hata siku moja amewahi kutoka hadharani na kumpongeza rais JPM kwa ushindi na jitihada zake za kuinua maisha ya watanzania lkn...
  14. JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Siasa za mivutano zinaathiri ustawi wa Zanzibar

    MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano. Akiwa kwenye ziara yake katika Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba jana amesema, mivutano ya kisiasa imekuwa ikiathiri ustawi wa Zanzibar. “Sisi sote tuna maslahi mapana na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Uongozi, Siasa na Amri Kitaalam inaitwaje?

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bwana Gelasius Byakanwa atoa mwezi 1 kila mwananchi mkoani humo ahakikishe anamiliki shamba la Mikorosho, vinginevyo serikali itawachukulia hatua za kisheria. Taarifa: ITVTanzania
  16. JamiiForums Tanzania Mbatia: Uchaguzi uliopita umetuacha uchi kama Taifa. Watanzania wamekata tamaa kwa Siasa zinazoendelea Nchini

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika waraka wake wa Kheri ya Mwaka Mpya 2021, alioutoa kwa wanachama wa chama hicho na Watanzania amesema, Taifa limeingia...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba siasa ni mchezo mchafu?

  18. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo 2021 Vijana chapeni kazi siasa tutazikuta tena 2025 tukijaliwa uzima!

    Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele. Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache. Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tuache SIASA: Dege la kwenda Geita limejaa abiria ni wengi, nimekosa siti

    Aiseee Dege limejaa Kama lote abiria ni wakumwaga tuache masikhara jamani. Wanaosema abiria hawatakuwepo ni waongo sana. Hapa nahisi nitakosa siti jamani.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

    Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini. Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam. Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…