shule

  1. JamiiForums Tanzania Shule ya Serikali Pwani kupewa jina la Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

    Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe kuisajili shule mpya ya wasichana Kisarawe kwa jina la mkuu wa wilaya hiyo, Joketi Mwegelo. Jokate amepokea taarifa hiyo kwa hisia na kusema hiyo ni heshima kubwa ambayo kuifikia amevumilia mengi ikiwemo baadhi ya...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wale Tuliosoma Shule ya Sekondari Makongo JWTZ Tukutane hapa Tukumbushane Vibwanga vya pale shuleni

    Siku zinakimbia kwa kasi sana wakuu, leo nimeamka natoka kwangu ile kufungua geti nakutana na mwalimu wangu mjeda wa Makongo yeye ameshanisahau kabisa ananunua kiwanja kinachopakana na Mimi, baada ya kusalimiana na kubadilishana namba nimemuacha aendelee na ratiba zake. Nikaanza kukumbuka...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Shule na Vyuo vinapaswa kuzingatia ili kuwalinda Wanafunzi dhidi ya maambukizi ya #COVID19

    UTANGULIZI Baada ya Serikali kutangaza kuwa wanafunzi wa Kidato cha Sita watapaswa kurudi shule ili wakajiandae na mitihani yao ya mwisho inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni kuanzia Juni 29 mpaka Julai 19, nimeona kuja na mawazo ambayo yatatoa mwongozo kwa namna wanafunzi, walimu na...
  4. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Bwiru watakiwa kwenda na Malimao na Tangawizi shuleni

    Pia, soma Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi - JamiiForums
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu/Shule ya mahaba matata uliipata wapi?

    Habari za jioni. Kizuri kula na wenzio. Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6. Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi. Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu...
  6. JamiiForums Tanzania England yajipanga kufungua shule Juni 1 (1/6/2020)

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amewataka wazazi wa watoto wa shule za msingi kujiandaa kwa kuwa shule nchini humo zitafunguliwa Juni 1 Boris amesisitiza kufungua shule za msingi japo shule nyingine hazitafunguliwa kwa kuwa vyama vya waalimu na wazazi bado hawana uhakika wa usalama kwa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

    JF Baada ya mwanga kuanza kuonekana kwamba muda si mrefu shule zote zitafunguliwa hapa nchini kwa vyuo na kidato cha sita kutangulia ili kupima upepo Wamiliki wa shule binafsi hawako nyuma, tayari leo wameanza kutuma meseji kwa wazazi wakihamasisha tulipe ada huku wakitoa onyo kali kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Shein: Katazo la Shule kufungwa na michezo Zanzibar liko palepale hali ikiwa nzuri mtaambiwa na michezo na shule zitafunguliwa

    Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa. Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, kabla ya watoto kurudi shule, wewe toka kwanza nyumbani kwako Chato rudi ofisini Ikulu

    Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake. Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya Wagonjwa wa COVID19 kwenye baadhi ya vituo yapungua

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri. Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

    Iko hivi: Endapo ligi luu Tanzania bara ikarejea na mechi kuchezwa katika viwanja mbali mbali hapa nchini, basi ni vyema pia vyuo na shule zifunguliwe na maisha yaendelee. Maana ukiachana na sehemu za viwanja vya mpira ambapo watu wanakusanyika kwa wingi pamoja na shule na vyuo. Sehemu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya shule kufungwa, haya ndio yanayoendelea kwa watoto walio Uswazi

    Naona WATOTO wadogo wengi wakiwa wamekusanyika pamoja wakiendelea na michezo yao tena kwa furaha kubwa na mama zao wakiwa nao wamekaa kwenye vikundi hapa mtaani story za hapa na pale zikiendelea. WATOTO waliorudishwa majumbani na serekali kwa nia nzuri tu ya kuwakinga na maambukizi haya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Hizi hapa salamu za Jumapili kwa walioiba vitabu vya Shule

    Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
  15. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

    Ilikuwa 2012 nikiwa kidato cha tano katika shule moja ya serikali hapa nchini. Ile shule ilikuwa ya boarding. Siku moja wakati natoka kwenye kipindi cha dini saa 2 usiku nilipopita getini na wenzangu 2 tukielekea mabwenini nikamuuliza mlinzi maswali ambayo yalimkwaza. Moja ya maswali hayo...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda President Museveni live addressing on COVID-19

    NBS Television @nbstv Lockdown yapunguzwa makali. 1. Uganda kuzuia madereva wa magar ya mizigo kutokushuka kwenye gar pale waingiapo uganda. Watoto wa kike wa kiganda waonywa kutembea na madereva wa kigeni. 2. Uganda kutengeneza kwa wingi sanitizer kutokana na waragi ( pombe kali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Uuzaji Bange ulivyonibadilisha tabia

    Historia yangu ni ndefu kidogo ila nitaifupisha Mwaka fulani baada ya vurugu za hapa na pale Geita Secondary, Butimba Day na Mwanza Sec nilitimuliwa, nikahamia Manguanjuki (Lake) iliyoko Singida kuanza kidato cha tatu. Pale nilikuwa huru sana, nikawa na tumia hela hovyo hovyo bahati mbaya sana...
  18. JamiiForums Tanzania Rwanda: Shule zitaendelea kufungwa hadi Septemba

    Rwanda imetangaza kufungulia biashara lakini imewataka wafanyabiashara kufuata hatua mambo yote ya kujilinda. Aidha masoko yatafunguliwa kwa 50% tu ya wafanya biashara waliosajiliwa. Na kusisitiza malipo ya kielektorinic kila inapowezekana Usafiri wa umma utapakia watu watakaovaa barakoa tu...
  19. JamiiForums Tanzania Trump ataka shule za umma kufunguliwa

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema serikali za majimbo nchini humo zinapaswa kufikiria kufungua shule za umma licha ya hofu ya usalama wa kiafya inayowakodolea macho wanafunzi kutokana na janga la virusi vya corona. Rais Trump alitoa kauli hiyo katika mkutano wa njia ya simu kwa magavana...
  20. JamiiForums Tanzania Walimu waliofunga Shule wakutane Shuleni kwao walau siku moja au mbili kwa Wiki

    Habari Wadau, Kitendo cha Shule za Sekondari na Msingi kufungwa shule kwa ajili ya Corona, kumefanya baadhi ya walimu kuhama maeneo yao ya kazi na kurudi makwao na wengine wako palepale ila wanalewa balaa. Madeni kibao na matukio mengine ya ajabu. Kuna uwezekano mkubwa baada ya shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…