shule

  1. J

    JamiiForums Tanzania Manyoni : TZS 3.5BL za Rais Samia kujenga shule ya "Singida Girls"

    Kihistoria,Wilaya ya Manyoni ndio Wilaya ya kwanza Tanzania kuwa na DC wa kwanza Mwafrica|Mtanzania kwa lugha nyepesi Manyoni ni miongoni mwawilaya za kwanza kwanza kuasisiwa kabla hata ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 Nikweli kwamba,Wilaya hii kongwe imesahaulika karibu na awamu zote...
  2. JamiiForums Tanzania Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  3. JamiiForums Tanzania Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

    Huyu binti ni mtoro wa shule, baba yake ilibidi awe ana mburuza shuleni. Siku hii baba akiwa amechoka aliamua kuvaa gauni la mkewe na kumpeleka mtoto shuleni. Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma ya uozo Shule za Wazazi (CCM)?

    Nimepita kwenye shule mbili za jumuiya ya wazazi CCM hapa mkoani mbeya yaani Meta sc na Sangu SC, ambazo kwa miaka ya nyuma zilisifika na kutukuka kwa kufanya vizuri sana na kuvutia watu wengi ndani na nje ya nchi. Kilichonisikitisha ni namna shule hizi zilivyotafunwa na uongozi mbovu na kila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, zipo shule zimepania kukaidi agizo lako la shule zote kufungwa

    Kwa kushirikiana na waziri wa elimu waziri Ummy Mwalimu aliagiza shule zote zifungwe na wanafunzi wote warudi nyumbani, wapumzike. Lakini kumekuwa na ubishi wa kimyakimya na baadhi ya shuke tayari zimeshatoa agizo kwa wanafunzi hao warudi baada ya wiki moja tu. Hii ni dharau kana kwamba shule...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za TRA katika kufungua Shule Mpya

    Habarini Wakuu, Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022. Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia. kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2019/20: Upungufu wa Miundombinu kwenye Shule za Msingi na Sekondari

    Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka. Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
  8. JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi huwaandikisha watoto shule za awali wakiwa na umri wa miaka mitano

    Inawezekana ni kukosa hela au sababu nyingine suala linalofanya wazazi wawapeleke watoto shule wakiwa na miaka mitano ili wakiwa na miaka sita waingia Darasa la kwanza. Hii ni sababu ambayo nimeitoa mimi kwa kuwa Shule za awali nyingi zinamilikiwa na serikali, i.e katika shule 18,554...
  10. D

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Watengenezaji mifumo ya computer kwa mahospital shule na micro-finance zote

    Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako. Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA...
  11. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

    Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
  12. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

    Habari zenu wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani. Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliomaliza darasa la Saba 2021/wamepangiwa shule?

    Wakuu habari, Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa wanatoa kwa awamu majina
  14. M

    JamiiForums Tanzania Acheni tu Shule za Kishua kama za FEZA na St. Mary zifaulishe sana na zetu zifelishe

    Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchini na madhila wanayoyapata wakuu wa Shule

    Habarini wanajamvi!.. Tunafahamu kinachoendelea juu ya ujenzi wa madarasa kote nchini chini ya ufadhili wa IMF lakini kinachofanyika kimenisukuma kuandika haya. Mosi, wakuu wa shule wamejikuta katika wakati mgumu sana kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la wakaguzi na wafuatiliaji ambao kila...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu Tanzania: Mbona International Schools hazina 'Holiday Package' kama shule nyingine?

    Shule zinakaribia kufungwa. Hii maana yake ni nini? Maana yake walimu wamefanya kazi wakamaliza syllabus wamefunzidha vizuri. Wanafunzi mwamesoma vizuri na wamesimamiwa vizuri. Sasa wanaenda kupumzika kwa mwezi mzima. Ratiba ya shule imeisha inaanza ratiba nyingine ya nyumbani. Mtoto anahitaji...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakuu wa Shule ambao Shule zao zimefanya vibaya kitaifa wapewa vinyago vya sokwe

    Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu. Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana. Hii imekaaje kitaalamu?
  20. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ya kuzingatia unapomchagulia mwanao shule

    Dar es Salaam. Mwanzo wa mwaka unapokaribia wazazi wengi huanza kutafuta shule bora kwa ajili ya watoto wao kujiunga ili wajiendeleze kielimu. Wakati huu ndio ambao wazazi hulazimika kuwapeleka watoto katika shule tofauti kufanya mitihani ya kujiunga, hasa wale wa kidato cha kwanza. Hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…