shule

  1. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu watajwa kushuka kitaaluma Shule za CCM

    Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imesema moja ya mambo yaliyosababisha shule inazozimiliki kushuka kitaaluma na baadhi yake kuwa katika hatari ya kufungwa, ni ubadhirifu uliofanywva na baadhi ya viongozi wasiokuwa waaminifu. Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Gilbert Kalima amebainisha...
  2. JamiiForums Tanzania Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

    Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa. Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu. Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi bora wa shule ya kumpeleka mtoto wako

    Habari wakuu. Leo ningependa tushirikishane jambo moja muhimu hususani kwa wazazi na walezi hasa wanapofanya maamuzi juu ya uchaguzi wa shule ya kumpeleka mwanafunzi au mtoto kwajili ya kupata elimu na maendeleo ya elimu kwa ujumla wa mwanafunzi. Awali ya yote ni kiri au ku declare interest...
  4. JamiiForums Tanzania Katavi : Shule ya Msingi ina walimu sita tu, Mawimbi ya Radio hayafiki .

    Shule ya msingi Ilangu. Iliyopo katika kata ya Ilangu wilayani Tanganyika inakabiliwa na upungufu wa walimu pamoja na vyumba vya madarasa. Siyajali Odasi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema kuwa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya mia tisa (900) iliyopo kijijini kwake ina walimu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanza jiji: wanafunzi wa shule ya Msingi Kasota wakipata Elimu chini ya Miti

    Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa. Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi walioandika barua kuacha shule kisa ugumu wa maisha wapata ufadhili

    Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza, ambao kila mmoja aliacha shule ili kufanya shughuli za kujiingizia kipato kusaidia wazazi wao, wamepata ufadhili wa kuendelea na masomo yao katika Shule ya Sekondari ya Ocean iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mtwara. Mmoja kati yao ni Taufiq Hamis...
  7. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mpenzi wangu wa shuleni

    Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi, Uhali gani mpenzi , Tokea mchana sijakuona , Umeshindaje,,,,, wangu . Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu ni hadi nikuone wewe,moyo wangu ni mwepesi pale nilipokuona wewe , mzigo uliokuwa moyoni umeutua...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Shule zetu za kata zinakufa? Nini kifanyike kuziinua?

    Kwa nini shule zetu za kata zinakufa? Na nini kifanyike tuzi-inue shule zetu za kata? Kwa hali ya sasa, shule zetu za kata zipo kwa ajili ya kundi maskini au kundi la wasiojiweza. Sidhani kama hii ndiyo ilikuwa nia ya kuanzisha shule hizi. Naamini kabisa shule hizi zilianzishwa kwa malengo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

    Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi. 1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza. 2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau. Hasara tunazopata 1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuwavalisha sare za shule matabibu Ni fedheha kubwa mno.

    Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu...
  11. JamiiForums Tanzania Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  12. JamiiForums Tanzania Nyerere ndiye aliyeshauri umri wa kuanza shule uwe miaka 7

    Kwenye kitabu elimu ya kujitegemea Mwalimu Nyerere alitoa hoja nyingi juu ya mustakabali wa elimu yetu. Moja ya hoja yake ulihusu umri wa mwanafunzi kuanza shule. Alisema kuwa kuanza shule na miaka 5 au 6 haifai sababu mtoto anamaliza na miaka 12-13. Umri ambao hawezi kuwa na manufaa yoyote...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

    Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele. Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

    Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university. Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass. Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
  16. JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi hatuendi kutoa ujinga kama zamani

    Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga. Imepitwa na wakati. Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga. Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ada za Shule ya ST Mary's, Uleta na ST Mary Goleth

    Habari wana jf. Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023. Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi mbili za St. Mary's ile ya ULETE IRINGA na MARY GOLETH YA MOSHI Ahsanteni
  18. JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Rais Samia alipokuwa kwenye ziara maalum katika shule ya Sekondari Benjamin William Mkapa

    ALIYOYASEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOKUWA KWENYE ZIARA MAALUM KATIKA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, DAR ES SALAAM. MACHI 7, 2022. Nichukue nafasi hii kuwashukuru uongozi wa Mkoa, Wizara na Shule kwa shughuli ya kunishtukiza...
  19. JamiiForums Tanzania Tukio la Kuungua Moto shule ya Shauritanga 18 June 1994

    Habari wakuu!, Ni muda sasa umepita tangu nipotee katika majukwaa mbalimbali hapa JF. 18 June 1994, Usiku wa manane, wanafunzi katika shule ya wasichana ya Shauritanga wakiwa wamelala, moto mkubwa ulizuka. Mabinti wale walipiga kelele za kuomba msaada kutoka kwa walinzi hawakufanikiwa hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu shule ya msingi Mavovo Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ana tabia mbovu, hafai kuwa mtumishi

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…